TAMKO LA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA WATOTO TANZANIA(TAJOC)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziCHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kuwa moja kati ya walipa kodi bora wakubwa wa pili kwa mwaka 2014.
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Dewji Blog06 Jul
Mkutano mkuu wa tatu wa Chama cha waandishi wa habari za uchaguzi wafanyika
Wajumbe wa mkutano mkuu wa tatu wa IPC wa uchaguzi wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka wanachama waliotangulia mbele ya haki ambao ni aliyekuwa mwenyekti Daudi Mwangosi, Mweka Hazina Vick Macha na mjumbe wa kamati tendaji Mzee Fulgence Malangalila uliyofanyika Ukumbi wa Lutheran Center mjini Iringa.
Wajumbe wa mkutano wa tatu wa IPC wakifuatilia mkutano.
Mwenyekiti wa IPC, Frank Leonard akifungua mkutano mkuu wa tatu leo katika Ukumbi wa Lutheran Centre mjini Iringa. Kushoto ni...
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUU WA TATU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI IRINGA (IPC) WA UCHAGUZI
Wajumbe wa mkutano mkuu wa tatu wa IPC wa uchaguzi wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka wanachama waliotangulia mbele ya haki ambao ni aliyekuwa mwenyekti Daudi Mwangosi, Mweka Hazina Vick Macha na mjumbe wa kamati tendaji Mzee Fulgence Malangalila uliyofanyika Ukumbi wa Lutheran Center mjini Iringa.Mwenyekiti wa IPC, Frank Leonard akifungua mkutano mkuu wa tatu leo katika Ukumbi wa Lutheran Centre mjini Iringa. Kushoto ni Mweka Hazina Msaidizi Janeth Matondo na Katibu Ktendaji Francis...
11 years ago
MichuziUONGOZI WA CHAMA CHA MCHEZO WA BASEBALL WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO
Katibu Mkuu Chama cha Baseball Tanzania (TABSA) Alpherio Nchimbi (kushoto) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya mashindano ya Kitaifa ya mchezo wa baseball yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni katika shule ya Sekondari ya Azania iliyopo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa mchezo wa Baseball Africa (AFAB) Shinya Tomonari na Kutoka kulia ni Afisa Michezo Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Richard Mganga.
Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa...
9 years ago
MichuziCHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) champongeza Dkt John Magufuli
Juma Pinto Mwenyekiti TASWACHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), kinatoa pongezi za dhati kwa Dk. John Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Tanzania. TASWA imepokea kwa furaha ushindi huo wa Dk. Magufuli, ikiamini atawapa furaha wanamichezo katika masuala mbalimbali kama alivyofanya mtangulizi wake Rais, Jakaya Kikwete ambaye anamaliza muda wake wa kuwatumikia Watanzania kwa mujibu wa katiba na ataanzia pale mtangulizi wake alipoishia kuhusiana na michezo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania