MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro yaipiga jeki taswa katika tuzo za Wanamichezo Bora
![](http://2.bp.blogspot.com/-Mmw-kcctJ0c/Vfx4CXtHS3I/AAAAAAAH59Y/0-BDG4IVP1M/s72-c/download%2B%25282%2529.jpg)
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro ( NCAA), imetoa Sh. 10, 486,000 kwa ajili ya kudhamini tuzo za Wanamichezo Bora waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete.
Tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA zinatarajiwa kufanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo pia TASWA itatoa Tuzo ya Heshima kwa Rais Kikwete ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa sekta ya michezo katika uongozi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo19 Sep
Ngorongoro wapiga jeki tuzo za wanamichezo
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro ( NCAA), imetoa Sh 10, 486,000 kwa ajili ya kudhamini tuzo za Wanamichezo Bora waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete katika hafla itakayofanyia Oktoba 8.
11 years ago
Michuzi19 Mar
TASWA KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) iliyokutana jijini Dar es Salaam wiki iliyopita ilikubaliana kufanya mabadiliko makubwa katika Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa kila mwaka na TASWA. Kikao kilijiridhisha kuwa tuzo za TASWA zina heshima kubwa na wanamichezo hapa nchini wanazithamini na kuzitegemea kuliko tuzo za aina nyingine zozote. Lakini kikao kilikubaliana kuwa pamoja na hayo bado kuna changamoto mbalimbali kuhusiana...
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA YAIPIGA JEKI MANISPAA YA ILALA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cLmxRny4Kcw/VH_2K8J0w1I/AAAAAAAG1Fo/o9PL5mg8qfw/s72-c/TASWALOGO.jpg)
KAMATI YA KUSIMAMIA TUZO ZA TASWA YATOA ORODHA YA WANAMICHEZO WANAOWANIA TUZO HIZO
![](http://2.bp.blogspot.com/-cLmxRny4Kcw/VH_2K8J0w1I/AAAAAAAG1Fo/o9PL5mg8qfw/s1600/TASWALOGO.jpg)
Usiku wa Tuzo utafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao.
Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku...
10 years ago
Michuzi06 Dec
kampuni ya selcom wireless yaipiga jeki Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini (taswa)
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
IPTL yaimwagia TASWA milioni 20 kuandaa tuzo za wanamichezo
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto (wapili kulia) ikiwa ni mchango wa IPTL kusaidia maandalizi ya Tuzo za wanamichezo bora nchini. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni ni Makamu Mweyekiti wa TASWA, Egbert Mkoko, Katibu Mkuu, Amir Mhando na Mwanasheria na...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-MmFuu_FHOI4/VfpEIuNGtyI/AAAAAAABH1g/lvSnHN3HBlM/s72-c/TASWA.jpg)
TASWA YAPATA UDHAMINI WA MILIONI 50 TUZO ZA WANAMICHEZO TOKA TAASISI YA GSM
![](http://2.bp.blogspot.com/-MmFuu_FHOI4/VfpEIuNGtyI/AAAAAAABH1g/lvSnHN3HBlM/s640/TASWA.jpg)
TAASISI ya GSM Foundation ya Dar es Salaam imetoa Sh milioni 50 kwa ajili ya kudhamini tuzo za wanamichezo waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete. Utoaji wa tuzo hizo utafanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo wanamichezo pia watatumia tuzo hizo zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kumuaga Rais Kikwete anayemaliza muda wake kikatiba.
Kwa mujibu wa TASWA licha ya kumuaga Rais Kikwete...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-gtE7hyF583U/VfKyg7e2dUI/AAAAAAAH4A8/R9Uja-tzfBk/s72-c/TASWALOGO1.jpg)
TASWA KUTOA TUZO KWA RAIS KIKWETE PAMOJA NA WANAMICHEZO WANAOFANYA VIZURI
![](http://4.bp.blogspot.com/-gtE7hyF583U/VfKyg7e2dUI/AAAAAAAH4A8/R9Uja-tzfBk/s1600/TASWALOGO1.jpg)