Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngorongoro wapiga jeki tuzo za wanamichezo

MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro ( NCAA), imetoa Sh 10, 486,000 kwa ajili ya kudhamini tuzo za Wanamichezo Bora waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete katika hafla itakayofanyia Oktoba 8.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro yaipiga jeki taswa katika tuzo za Wanamichezo Bora

MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro ( NCAA),  imetoa Sh. 10, 486,000 kwa ajili ya kudhamini tuzo za Wanamichezo Bora waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete. 
Tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA zinatarajiwa kufanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo pia TASWA itatoa Tuzo ya Heshima kwa Rais Kikwete ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa sekta ya michezo katika uongozi...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUSIMAMIA TUZO ZA TASWA YATOA ORODHA YA WANAMICHEZO WANAOWANIA TUZO HIZO

KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam jana na kupitia majina ya wanamichezo waliopendekezwa kuwania tuzo hizo.
Usiku wa Tuzo utafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao.
Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yapiga jeki mbio za marathon Ngorongoro

 Afisa Masoko wa Benki ya Exim (Tawi la Karatu), Bi. Rosemary Meglan (kulia) akikabidhi kasha la gurudumu kwa Waziri Mkuu mstaafu Mh. Frederick Sumaye ambaye alikua mgeni rasmi katika mbio za Ngorongoro Marathon zilizofanyika Karatu, Manyara hivi karibuni. Benki ya Exim ilikua miongoni mwa wadhamini wa mbio hizo. Wengine ni wafanyakazi wa benki hiyo.Afisa Masoko wa Benki ya Exim (Tawi la Karatu), Bi. Rosemary Meglan (kulia) akikabidhi vipeperushi vyenye taarifa za huduma zinazotolewa na...

 

5 years ago

Michuzi

UMEMEJUA WAPIGA JEKI ELIMU SHULE YA SEKONDARI MORETO

Nyamiti Kayora

Shule nyingi za Sekondari hususani za vijijini zimekuwa zikikabiliwa na ukosefu wa nishati ya kuendesha maabara na mwanga wa kujisomea kwa wanafunzi waishio katika mazingira ya shule (bweni).

Uhaba huo umesababisha maeneo hayo kutofanya vyema kimasomo kuliko wale wenye nishati hiyo.

Shule zinazojiweza zimeweka umemejua wakati baadhi ya zile zisizokuwa na uwezo huo hasa za umma zimekuwa zikifadhiliwa na wahisani mbalimbali kama ilivyo shule ya sekondari Moreto. Shule hii ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge Moshi Vijijini awapiga jeki wapiga kura

MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro Dk Cyril Chami, ametoa jumla ya Shilingi milioni nne kwa kikundi cha Wanawake wa Kanisa la Katoliki la Kindi (WAWATA) kuwawezesha kwenye mradi wa mashine za kusaga na kukoboa mahindi.

 

11 years ago

GPL

MABORESHO TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA

KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam juzi na kukubaliana masuala mbalimbali juu ya kuboresha tuzo hizo. Tarehe ya Tuzo
Kamati imepanga kuwa tuzo hizo zifanyike Juni 27, 2014 jijini Dar es Salaam katika ukumbi utakaotangazwa kwa ushirikiano wa Kamati ya Tuzo na Kamati ya Utendaji ya TASWA. Tayari Kamati ya Tuzo na...

 

10 years ago

Dewji Blog

IPTL yaimwagia TASWA milioni 20 kuandaa tuzo za wanamichezo

FKB_3692

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto (wapili kulia) ikiwa ni mchango wa IPTL kusaidia maandalizi ya Tuzo za wanamichezo bora nchini. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni ni Makamu Mweyekiti wa TASWA, Egbert Mkoko, Katibu Mkuu, Amir Mhando na Mwanasheria na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani