MABORESHO TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA
![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQJxCeZQUHeath3-7miOSM5zvjq*R7XVotZ*2btP86Kco371JCqLFhtWMdxX0RvpP-t3rS5Iajdr4uQ*x8ZTOPAJ/TASWALOGO.jpg)
KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam juzi na kukubaliana masuala mbalimbali juu ya kuboresha tuzo hizo. Tarehe ya Tuzo Kamati imepanga kuwa tuzo hizo zifanyike Juni 27, 2014 jijini Dar es Salaam katika ukumbi utakaotangazwa kwa ushirikiano wa Kamati ya Tuzo na Kamati ya Utendaji ya TASWA. Tayari Kamati ya Tuzo na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi19 Mar
TASWA KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) iliyokutana jijini Dar es Salaam wiki iliyopita ilikubaliana kufanya mabadiliko makubwa katika Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa kila mwaka na TASWA. Kikao kilijiridhisha kuwa tuzo za TASWA zina heshima kubwa na wanamichezo hapa nchini wanazithamini na kuzitegemea kuliko tuzo za aina nyingine zozote. Lakini kikao kilikubaliana kuwa pamoja na hayo bado kuna changamoto mbalimbali kuhusiana...
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
Dk. Shein kukabidhi Tuzo kwa Wanamichezo Bora Tanzania ndani ukumbi wa Diamond Jubilee hapo kesho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein.
MAANDALIZI kwa ajili ya Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania, zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) yamekamilika.
Tuzo hizo zitatolewa kesho Ijumaa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, kuanzia saa 12 jioni, ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein.
Wanamichezo mbalimbali wanatarajiwa kupewa tuzo hizo kutokana...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6POPc3JXfaQ/VFx7ZoYYeII/AAAAAAAGv7w/qlteTLWd2Ds/s72-c/21.jpg)
UPDATES ZA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA 2013/2014 NA MEDIA DAY BONAZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-6POPc3JXfaQ/VFx7ZoYYeII/AAAAAAAGv7w/qlteTLWd2Ds/s1600/21.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Mmw-kcctJ0c/Vfx4CXtHS3I/AAAAAAAH59Y/0-BDG4IVP1M/s72-c/download%2B%25282%2529.jpg)
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro yaipiga jeki taswa katika tuzo za Wanamichezo Bora
![](http://2.bp.blogspot.com/-Mmw-kcctJ0c/Vfx4CXtHS3I/AAAAAAAH59Y/0-BDG4IVP1M/s400/download%2B%25282%2529.jpg)
Tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA zinatarajiwa kufanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo pia TASWA itatoa Tuzo ya Heshima kwa Rais Kikwete ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa sekta ya michezo katika uongozi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cLmxRny4Kcw/VH_2K8J0w1I/AAAAAAAG1Fo/o9PL5mg8qfw/s72-c/TASWALOGO.jpg)
KAMATI YA KUSIMAMIA TUZO ZA TASWA YATOA ORODHA YA WANAMICHEZO WANAOWANIA TUZO HIZO
![](http://2.bp.blogspot.com/-cLmxRny4Kcw/VH_2K8J0w1I/AAAAAAAG1Fo/o9PL5mg8qfw/s1600/TASWALOGO.jpg)
Usiku wa Tuzo utafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao.
Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku...
9 years ago
Habarileo19 Sep
Ngorongoro wapiga jeki tuzo za wanamichezo
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro ( NCAA), imetoa Sh 10, 486,000 kwa ajili ya kudhamini tuzo za Wanamichezo Bora waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete katika hafla itakayofanyia Oktoba 8.
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Konyagi yawa mshindi wa pili tuzo za uzalishaji bora Tanzania
Watendaji wakuu wa kampuni ya Tanzania Distilleries Limited maarufu Konyagi, wakifurahia kombe kombe la ushindi wa pili wa tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa Mwaka 2014 baada ya kukabishbiwa kutoka kwa Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, kwenye hafla ya makabidhiano ya tuzo hizojijini Dar es Salaam juzi usiku. TDL ni kampuni tanzu ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).(PICHA NA MPIGAPICHA WETU).
![](http://4.bp.blogspot.com/-BnK_RRoDG_A/VORsW0A7kXI/AAAAAAAAzAY/znTcuSqoUCM/s1600/Konyagi2.jpg)
Meneja wa Mauzo wa Tanzania Distilleries Limited (TDL) maarufu Konyagi, Joseph Chibehe (...