Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Konyagi yawa mshindi wa pili tuzo za uzalishaji bora Tanzania

Konyagi1

Watendaji wakuu wa kampuni ya Tanzania Distilleries Limited maarufu  Konyagi, wakifurahia kombe kombe la ushindi wa pili wa tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa Mwaka 2014 baada ya kukabishbiwa  kutoka kwa Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, kwenye hafla ya  makabidhiano ya tuzo hizojijini Dar es Salaam juzi usiku. TDL ni kampuni tanzu ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).(PICHA NA MPIGAPICHA WETU).

Meneja wa Mauzo wa Tanzania Distilleries Limited (TDL) maarufu  Konyagi, Joseph  Chibehe (...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TBL YAIBUKA MSHINDI WA PILI TUZO ZA MZALISHAJI BORA WA MWAKA 2013

Rais Jakaya Kikwete akikabidhi kombe  kwa mshindi wa pili wa tuzo wa mzalishaji bora wa mwaka 2013, kwa  Mkurugenzi wa Huduma ya Makampuni na Masuala ya Sheria wa kampuni ya Bia ya TBL, Stephen  Kilindo wakati wa hafla ya makabidhiano ya tuzo hizo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni Mwenyekiti wa Chama Cha Wenye Viwanda Tanzania (CTI), Dk. Samwel Nyantahe ( wa pili kulia)  wakati wa kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa CTI, Dk. Reginald Mengi ambaye ni Mwenyekiti...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA KONYAGI YANYAKUWA TUZO MBILI ZA ULIPAJI KODI BORA NCHINI

Mkurugenzi wa Fedha wa TDL, Bwana Michael Brown (KUSHOTO) akipokea Ngao ya ushindi kwa TDL baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kama Mlipa Kodi Bora katika kundi la Viwanda, na Naibu Waziri wa viwanda na Biashara Bw Kigoma malima ndie anaemkabidhi tuzo hiyo. KONYAGI ilinyakuwa tuzo mbili za ulipaji kodi boraWaziri Kiongozi mstaafu Vuai Nahodha akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya TDL watengenezaji wa KONYAGI bw. Michael Brown Tuzo ya Mshindi wa Jumla ya Mlipa Kodi Bora katika hafla...

 

11 years ago

GPL

DK. MARIA KAMM NDIYE MSHINDI WA TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14

Dk. Maria Kamm ametwaa tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 iliyotolewa na Global Publishers akiwashinda Dk. Migiro, Prof. Tibaijuka na Anne Kilango!

 

10 years ago

Vijimambo

MSHINDI WA PILI MISS TANZANIA USA PAGEANT AHUDHURIA DMV AWARDS

 Mshindi wa pili wa Miss Tanzania USA Pageant Kupewa Mushala (watatu toka kushoto) wakiongea na aliyekua Miss Kenya 2013 (wakwanza kushoto) walipokutana kwenye DMV award iliyofanyika usiku wa Jumamosi Novemba 8, 2014 Downtown, Silver Spring, Maryland nchini Marekani. wengine katika picha na Mkurugenzi wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Cassey (wapili toka kushoto), Miss Kenya 2014 (wanne toka kushoto) na mratibu wake.Kutoka kushoto ni  Miss Kenya 2013, Mkurugenzi wa Miss Tanzania USA...

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA KIMATAIFA

Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa kwa kwanza 2015 Miami, Marekani.
Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha kuwa kupona kwake kutachukua mwezi mmoja wakati mrembo anatakiwa awe...

 

10 years ago

Vijimambo

MSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA KIMATAIFA


Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa kwa kwanza 2015 Miami, Marekani.

Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha kuwa kupona kwake kutachukua mwezi mmoja wakati mrembo anatakiwa awe mashindanoni...

 

11 years ago

GPL

MABORESHO TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA

KAMATI ya Kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam juzi na kukubaliana masuala mbalimbali juu ya kuboresha tuzo hizo. Tarehe ya Tuzo
Kamati imepanga kuwa tuzo hizo zifanyike Juni 27, 2014 jijini Dar es Salaam katika ukumbi utakaotangazwa kwa ushirikiano wa Kamati ya Tuzo na Kamati ya Utendaji ya TASWA. Tayari Kamati ya Tuzo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani