TBL YAIBUKA MSHINDI WA PILI TUZO ZA MZALISHAJI BORA WA MWAKA 2013
Rais Jakaya Kikwete akikabidhi kombe kwa mshindi wa pili wa tuzo wa mzalishaji bora wa mwaka 2013, kwa Mkurugenzi wa Huduma ya Makampuni na Masuala ya Sheria wa kampuni ya Bia ya TBL, Stephen Kilindo wakati wa hafla ya makabidhiano ya tuzo hizo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni Mwenyekiti wa Chama Cha Wenye Viwanda Tanzania (CTI), Dk. Samwel Nyantahe ( wa pili kulia) wakati wa kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa CTI, Dk. Reginald Mengi ambaye ni Mwenyekiti...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDK. MARIA KAMM NDIYE MSHINDI WA TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Konyagi yawa mshindi wa pili tuzo za uzalishaji bora Tanzania
Watendaji wakuu wa kampuni ya Tanzania Distilleries Limited maarufu Konyagi, wakifurahia kombe kombe la ushindi wa pili wa tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa Mwaka 2014 baada ya kukabishbiwa kutoka kwa Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, kwenye hafla ya makabidhiano ya tuzo hizojijini Dar es Salaam juzi usiku. TDL ni kampuni tanzu ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).(PICHA NA MPIGAPICHA WETU).
Meneja wa Mauzo wa Tanzania Distilleries Limited (TDL) maarufu Konyagi, Joseph Chibehe (...
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
TBL Group yashinda tuzo ya mwajiri bora mwaka 2015
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa (kulia) akimkabidhi kombe la tuzo ya mwajiri bora kwa Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese (Kushoto) katika hafla iliyoandaliwa na Chama Cha Waajiri Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City mwishoni mwa wiki ambapo TBL iliibuka kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka 2015,(katikati) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck sadiki.
Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese akionyesha kombe la tuzo ya mwajiri bora...
11 years ago
GPL30 Mar
11 years ago
GPLUSIKU WA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/2014
11 years ago
GPLMAANDALIZI YA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 YAPAMBA MOTO
11 years ago
GPLWAZIRI MKUU PINDA AKABIDHI TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14, DK KAMM AIBUKA SHUJAA
11 years ago
Michuzi31 Mar
WAZIRI MKUU PINDA AKABIDHI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14, DK MARIA KAMM AIBUKA SHUJAA