WAZIRI MKUU PINDA AKABIDHI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14, DK MARIA KAMM AIBUKA SHUJAA
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano Dk. Maria Kamm aliyetwaa Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 ndani ya Ukumbi wa African Dreams uliopo Area D, Dodoma jana usiku.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akimvisha medali ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014, Dk. Maria Kamm.
Waziri Mkuu akimkabidhi tuzo, Anna Margareth Abdallah, kwa niaba ya mshindi wa pili ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro.
Waziri Mkuu akimkabidhi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWAZIRI MKUU PINDA AKABIDHI TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14, DK KAMM AIBUKA SHUJAA
11 years ago
GPLDK. MARIA KAMM NDIYE MSHINDI WA TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
11 years ago
GPL30 Mar
11 years ago
GPLUSIKU WA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/2014
11 years ago
GPLMAANDALIZI YA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 YAPAMBA MOTO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZZ0ulYrPufAIWTT0kXKQEVN8wVYA5VWs7YaXt6K5DOOdnycdodzdkcKnelqGeAVykHJSI9RRHsEVHWrDvhOVsKG/mariakamm.jpg?width=650)
11 years ago
GPLTUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI