KAMPUNI YA KONYAGI YANYAKUWA TUZO MBILI ZA ULIPAJI KODI BORA NCHINI
Mkurugenzi wa Fedha wa TDL, Bwana Michael Brown (KUSHOTO) akipokea Ngao ya ushindi kwa TDL baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kama Mlipa Kodi Bora katika kundi la Viwanda, na Naibu Waziri wa viwanda na Biashara Bw Kigoma malima ndie anaemkabidhi tuzo hiyo. KONYAGI ilinyakuwa tuzo mbili za ulipaji kodi boraWaziri Kiongozi mstaafu Vuai Nahodha akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya TDL watengenezaji wa KONYAGI bw. Michael Brown Tuzo ya Mshindi wa Jumla ya Mlipa Kodi Bora katika hafla...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMPUNI ZA ASAS ZAONGOZA KWA ULIPAJI KODI BORA KWA MKOA WA IRINGA
KWA HABARI ZAIDI...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Konyagi yawa mshindi wa pili tuzo za uzalishaji bora Tanzania
Watendaji wakuu wa kampuni ya Tanzania Distilleries Limited maarufu Konyagi, wakifurahia kombe kombe la ushindi wa pili wa tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa Mwaka 2014 baada ya kukabishbiwa kutoka kwa Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, kwenye hafla ya makabidhiano ya tuzo hizojijini Dar es Salaam juzi usiku. TDL ni kampuni tanzu ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).(PICHA NA MPIGAPICHA WETU).
Meneja wa Mauzo wa Tanzania Distilleries Limited (TDL) maarufu Konyagi, Joseph Chibehe (...
10 years ago
MichuziCHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...
9 years ago
MichuziKampuni ya Mawakili ya Yakubu & Associates Chamber yatwaa tuzo mbili
10 years ago
Habarileo11 Feb
Bilal mgeni rasmi tuzo kwa kampuni bora
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kutoa tuzo kwa kampuni bora kwa mwaka 2014.
10 years ago
Habarileo23 Dec
Shein asisitiza ulipaji kodi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito wa kuongeza ufanisi katika ulipaji na ukusanyaji wa kodi nchini.
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Mfumo wa ulipaji kodi wawatesa wafanyabiashara
9 years ago
Mwananchi20 Aug
Tuzo za kampuni 100 bora zilivyoibua vikwazo vya kukua uchumi Tanzania
10 years ago
MichuziTBL YAWA KINARA ULIPAJI KODI TANZANIA