Tuzo za kampuni 100 bora zilivyoibua vikwazo vya kukua uchumi Tanzania
Miaka 30 baada ya Tanzania kufanya mabadiliko ya kiuchumi kwa kuruhusu uchumi huria unaoshirikisha sekta binafsi, idadi ya kampuni binafsi nazo imeongezeka kwa kasi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Jul
Mchakato wa kampuni 100 bora waanza
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Ushiriki kampuni 100 bora waongezeka
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Kampuni bora 100 za kati kujulikana leo
9 years ago
StarTV09 Oct
Mgufuli ahidi kuboresha uchumi wa nchi kwa kuondoa vikwazo Tanzania na Kenya
Mgombea Uraisi kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Pombe Magufuli amesema atakapoingia madarakani atahakikisha anasimamia fursa zilizopo za kibiashara baina ya nchi jirani ya Kenya kwa kuondoa vikwazo kwa lengo la kuimarisha uchumi wa nchi hizo mbili.
Kenya ni moja ya nchi ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi,hivyo kufunguliwa kwa fursa za kibiashara kutasaidia kukuza uchumi wa nchi zote mbili.
Kadri siku zinavyojongea kufanyika kwa uchaguzi mkuu Octoba 25 mwaka huu,vyama...
10 years ago
Habarileo11 Feb
Bilal mgeni rasmi tuzo kwa kampuni bora
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kutoa tuzo kwa kampuni bora kwa mwaka 2014.
10 years ago
Vijimambo26 Nov
KAMPUNI YA KONYAGI YANYAKUWA TUZO MBILI ZA ULIPAJI KODI BORA NCHINI
10 years ago
Dewji Blog21 Sep
Kampuni ya vifaa vya kielektroniki Samsung yalenga kukuza uchumi wa jiji la Arusha
Kampuni ya Samsung inazindua rasmi duka kubwa na kituo chake cha huduma kwa wateja lililopo barabara ya Sokoine mjini Arusha siku ya leo. Uzinduzi huo utawawezesha wateja wake wote mkoani Arusha kupata huduma stahiki na bidhaa halisi za Samsung. Kituo hiki ni cha kwanza kuzinduliwa mkoani Arusha na kampuni hii yenye idadi kubwa ya watumiaji na vifaa bora vya kielektroniki ulimwenguni.
“Mtazamo wa maisha ya wateja hubadilika kwa kasi kubwa na kuwafanya kuongeza mahitaji ya bidhaa na huduma...
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
‘Tanzania bado haijaridhia kuondoa vikwazo vya ajira’
KATIBU wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), Nicholaus Mgaya, amesema Tanzania bado haijaridhia kuondoa vikwazo vyote vya ajira kutokana na kutokamilika uhakiki wa wafanyakazi wote na mahitaji yaliyopo....