Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni bora 100 za kati kujulikana leo

Kampuni za kati zilizoshika nafasi 100 za juu nchini zitajulikana leo wakati matokeo ya utafiti na taasisi ya Research Solutions Africa yatakapotangazwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kipipa Millers: Kinara kati ya kampuni 100 za kati nchini

Kwa mara ya pili mfululizo kampuni ya Kipipa Millers Limited imeendelea kushika nafasi ya kwanza kati ya kampuni 100 zenye mitaji ya kati zilizofanyiwa utafiti nchini.

 

10 years ago

GPL

TANO BORA YA CCM KUJULIKANA LEO DODOMA

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye. Dodoma. Kisu kikali cha Kamati Kuu ya CCM (CC) leo kitaondoka na vichwa 33 kati ya 38 vya walioomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kumrithi Rais Jakaya Kikwete anayemaliza ngwe yake. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula. Kikao hicho ni hatua ya pili baada ya kukamilika kwa kikao cha Kamati ya Maadili kilichokutana jana usiku chini ya Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mchakato wa kampuni 100 bora waanza

>Mchakato wa kutafuta kampuni 100 bora za kiwango cha kati nchini kwa mwaka huu, umeanza na kampuni mbalimbali zitafanyiwa utafiti kubaini viwango vyao vya ukuaji kibiashara.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushiriki kampuni 100 bora waongezeka

Utafiti wa kampuni 100 bora zenye ukubwa wa kati umeingia katika sehemu yake ya nne mwaka huu kukiwa na ongezeko la asilimia 30 ya ushiriki wa wafanyabiashara kutoka mikoani.

 

9 years ago

Mwananchi

Tuzo za kampuni 100 bora zilivyoibua vikwazo vya kukua uchumi Tanzania

Miaka 30 baada ya Tanzania kufanya mabadiliko ya kiuchumi kwa kuruhusu uchumi huria unaoshirikisha sekta binafsi, idadi ya kampuni binafsi nazo imeongezeka kwa kasi.

 

11 years ago

Mwananchi

Hatima ya Rage kujulikana leo

>Hatma ya Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage itajulikana leo wakati kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya mwenyekiti wake Jamal Malinzi atakapokutana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mtanzania

Rufaa ya kina Mramba kujulikana leo

mainNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

HUKUMU ya rufaa iliyokatwa na waliokuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa  Nishati na Madini, Daniel Yona, kupinga adhabu ya vifungo vya miaka mitatu jela inatolewa leo.

Jaji wa Mahakama Kuu, Projest Rugazia wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, anatarajiwa kusoma hukumu hiyo baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili.

Mahakama hiyo pia itatoa hukumu ya rufani iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka  (DPP), kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Hatima ya Mrema TLP kujulikana leo

mrmNa Michael Sarungi, Asifiwe George,Dar es Salaam
HATIMA ya Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Agustine Mrema kuendelea kuongoza chama hicho inatarajiwa kujulikana leo baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kuingilia kati.
Hatua hiyo imekuja baada ya kundi la wanachama wa TLP kuandika barua ya malalamiko kutaka kufanyika kwa uchaguzi wa ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Malalamiko hayo yamemlazimu msajili kuingilia kati na kuziita pande mbili...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mrithi wa Askofu Laizer kujulikana leo


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
ASKOFU mpya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati, anatarajwa kupatikana leo katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Dayosisi hiyo utakaohudhuriwa na zaidi ya wajumbe 300.
Wajumbe hao watakaokutana katika Shule ya Sekondari ya Peace House, Matevesi, Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha, watamchagua kiongozi atakayechukua nafasi ya Dk. Thomas Laizer, aliyefariki dunia Februari 6, mwaka jana.
Kwa sasa, nafasi hiyo inakaimiwa na Mchungaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani