Hatima ya Rage kujulikana leo
>Hatma ya Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage itajulikana leo wakati kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya mwenyekiti wake Jamal Malinzi atakapokutana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Hatima ya Mrema TLP kujulikana leo
Na Michael Sarungi, Asifiwe George,Dar es Salaam
HATIMA ya Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Agustine Mrema kuendelea kuongoza chama hicho inatarajiwa kujulikana leo baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kuingilia kati.
Hatua hiyo imekuja baada ya kundi la wanachama wa TLP kuandika barua ya malalamiko kutaka kufanyika kwa uchaguzi wa ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Malalamiko hayo yamemlazimu msajili kuingilia kati na kuziita pande mbili...
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Hatima ya mwili wa Mawazo kuagwa ama kutoagwa Jijini Mwanza kujulikana leo
Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo imeahirisha kesi ya madai ya kuomba ridhaa ya kufanya ibada ya Mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoani Geita Marehemu Alphonce Mawazo iliyowasilishwa na Mchungaji Charles Lugiko ambae ni baba mlezi wa marehemu Mawazo
Katika kesi hiyo, mlalamikaji anaiomba mahakama kuondoa zuio la jeshi la polisi Mkoani Mwanza la kutoruhusu shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Mawazo...
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Hatima ya Duni kujulikana Januari
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Hatima ya Zanzibar bado kujulikana
10 years ago
Habarileo16 Aug
Mgombea urais wa ACT kujulikana leo
MGOMBEA urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, inatarajiwa kujulikana leo baada ya Kamati Kuu ya chama hicho kupendekeza jina la mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho.
11 years ago
Habarileo22 Jul
Mrithi wa Laizer KKKT kujulikana leo
HATIMA ya kinyang’anyiro cha kumpata mrithi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati, Dk Thomas Laizer aliyefariki mapema mwaka huu, inajulikana leo.
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Katiba: Mwelekeo mpya kujulikana leo
11 years ago
Mwananchi15 Sep
Mwelekeo wa Bunge la Katiba kujulikana leo
10 years ago
StarTV30 Mar
Matokeo ya uchaguzi Nigeria kujulikana leo.
Mkuu wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini Nigeria amesema anatumaini kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa rais nchini humo ifikapo Jumatatu jioni.
Upigaji kura uliendelea katika siku ya pili ya uchgaguzi baada ya kutokea hitilafu katika kadi za kielektroniki na kuchelewesha usajili wa baadhi ya wapiga kura.

Kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, INEC, Attahiru Jega. “Tumaini letu na ambalo tumekuwa tukilifanyia kazi kwa bidii ni kuweza...