Katiba: Mwelekeo mpya kujulikana leo
>Swali la nini kilichomo katika Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya litajibiwa leo wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba itakapokabidhi rasimu hiyo kwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Mwelekeo wa Bunge la Katiba kujulikana leo
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Katiba Mpya imetoa mwelekeo mbaya wa nchi
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Mwelekeo mpya
![Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Andrew-Chenge.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge
MAREGESI PAUL NA RACHEL MRISHO, DODOMA
KAMATI ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba imewasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa ikionyesha jinsi ilivyoifumua rasimu iliyowasilishwa bungeni hapa mwanzoni mwa mwaka huu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.
Rasimu hiyo iliwasilishwa bungeni jana na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Andrew Chenge ambapo imeongeza mambo ya muungano kutoka saba...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-V3LyTJ3914A/VA8gr97tPZI/AAAAAAAABo4/YiNRUS5FRMs/s72-c/jk%2B3.jpg)
JK, TCD watoa mwelekeo mpya
Bunge la Katiba kuendelea, UKAWA waridhiaKatiba iliyopo kuboreshwa kwa uchaguzi ujao
NA THEODOS MGOMBA, DODOMA
KIKAO baina ya Rais Jakaya Kikwete na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimetoa mwelekeo mpya katika mchakato wa Katiba Mpya.
![](http://2.bp.blogspot.com/-V3LyTJ3914A/VA8gr97tPZI/AAAAAAAABo4/YiNRUS5FRMs/s1600/jk%2B3.jpg)
Katika kikao...
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Sura na mwelekeo mpya wa elimu Tanzania
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Sera ya elimu ni mwelekeo mpya wa mafanikio
Na Markus Mpangala
TANGU kutangazwa kwa mpango mpya wa elimu kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na suala hilo. Baadhi walikuwa wakishangazwa na mpango huo lakini wakakosa hoja za msingi kukosoa zaidi ya malalamiko ya kawaida na yaliyozoeleka.
Wakosoaji hawajatoa njia mbadala wala hawataki kuona mambo mazuri yaliyobuniwa. Binafsi ninadhani ni sahihi kubadili muundo wa elimu ambao kwa namna moja ama nyingine unatusaidia kuendelea kutumia nguvu za ujana kwa kutafuta maarifa zaidi kuliko...
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Hatima ya Rage kujulikana leo
11 years ago
Michuzi12 Feb
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Mwelekeo mpya; Ukawa wasema serikali ya mseto inanukia 2015