Mwelekeo mpya; Ukawa wasema serikali ya mseto inanukia 2015
Matokeo ya awali ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika nchi kote hivi karibuni yanaonyesha kuwa wananchi wamebadilisha mitazamo yao dhidi ya vyama vya siasa na hivyo kutoa picha mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Sep
Samia: Ukawa ni ndoto kuunda serikali ya mseto
Mgombea mwenza wa urais wa chama Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Na Moshi Lusonzo 22nd September 2015 Adai sheria inasema chama kitakachoshinda ndicho kitaunda serikali, vinginevyo haiwezekani. Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi […]
The post Samia: Ukawa ni ndoto kuunda serikali ya mseto appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Ukawa watamba ‘mseto’ kuing’oa CCM madarakani
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Ukawa wamepoteza mwelekeo-Warioba
MWENYEKITI wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema Umoja wa Katib
Mwandishi Wetu
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-2rrRSDPm1zA/Vc3nRHhMVKI/AAAAAAABT04/90bgzumt430/s72-c/IMG_7835.jpg)
MREMA ASEMA UKAWA UMEPOTEZA MWELEKEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-2rrRSDPm1zA/Vc3nRHhMVKI/AAAAAAABT04/90bgzumt430/s640/IMG_7835.jpg)
Mwenyekiti wa taifa wa TLP Augustine Mrema amewatahadharisha watanzania kuwa macho juu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ambao umepoteza mwelekeo na kuyumba kisiasa na kudai kuwa hawafai kuingia ikulu na kuongoza nchi.Mrema ametoa tahadhari katika eneo la njiapanda baada ya kurejea ofisi ya msimamizi wa uchaguzi wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Vunjo huku akisindikizwa na wafuasi wake.Amesema,...
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Ukawa waionya Serikali bajeti 2015/16
10 years ago
Mtanzania23 Jan
Ukawa wabuni mbinu mpya ya urais 2015
KIKAO cha pamoja kilichowakutanisha viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimetoa mikakati ya pamoja ikiwamo kuandaa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa nafasi ya urais kwa kila chama.
Hatua hiyo imekuja baada ya kikao cha siri cha siku mbili kilichowakutanisha viongozi wa juu wa Ukawa ambao ni Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, Freeman Mbowe (Chadema), James Mbatia (NCCR-Mageuzi) na Dk. Emmanuel Makaidi (NLD).
Chanzo cha kuaminika kiliambia MTANZANIA jana kuwa katika kikao...
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Hoja ya serikali ya mseto Ukraine
9 years ago
Mtanzania28 Sep
Rungwe: Nitaunda Serikali ya mseto
NA DEBORA SANJA, DODOMA
MGOMBEA urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashim Rungwe amesema endapo akishinda nafasi hiyo, ataunda Serikali ya mseto itakayoshirikisha vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Rungwe alisema Katiba haikatazi kuundwa kwa Serikali ya aina hiyo.
“Nitachagua watu wenye akili kutoka vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi kwa ajili ya kuunda Serikali, nitapunguza pia ukubwa wa Serikali ili fedha hizo zifanye...
10 years ago
Mwananchi09 Feb