Rungwe: Nitaunda Serikali ya mseto
NA DEBORA SANJA, DODOMA
MGOMBEA urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashim Rungwe amesema endapo akishinda nafasi hiyo, ataunda Serikali ya mseto itakayoshirikisha vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Rungwe alisema Katiba haikatazi kuundwa kwa Serikali ya aina hiyo.
“Nitachagua watu wenye akili kutoka vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi kwa ajili ya kuunda Serikali, nitapunguza pia ukubwa wa Serikali ili fedha hizo zifanye...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Hoja ya serikali ya mseto Ukraine
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-76ya1h8vNIw/VUugyCkhFvI/AAAAAAAHWNA/suuILdAfgrM/s72-c/0%2C%2C18427825_303%2C00.jpg)
NETANYAHU AUNDA SERIKALI YA MSETO ISRAEL
![](http://2.bp.blogspot.com/-76ya1h8vNIw/VUugyCkhFvI/AAAAAAAHWNA/suuILdAfgrM/s640/0%2C%2C18427825_303%2C00.jpg)
Waziri Mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu,ameunda serikali mpya ya mseto kabla ya kumalizika muda uliopangwa kwa kiongozi huyo kuwasilisha serikali yake.Netanyahu alifanikiwa kukishawishi chama cha kiyahudi cha mrengo wa kulia cha Jewish Home Party baada ya Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali inayoondoka madarakani, Avigdor Lieberman, kukataa chama chake cha Yisrael Baitenu, kuwa sehemu ya muungano wa Likud.
Makubaliano hayo ya serikali ya mseto...
10 years ago
Mwananchi09 Feb
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Sep
Samia: Ukawa ni ndoto kuunda serikali ya mseto
Mgombea mwenza wa urais wa chama Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Na Moshi Lusonzo 22nd September 2015 Adai sheria inasema chama kitakachoshinda ndicho kitaunda serikali, vinginevyo haiwezekani. Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi […]
The post Samia: Ukawa ni ndoto kuunda serikali ya mseto appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi13 Feb
MARIDHIANO: Serikali ya Mseto Zanzibar yazua mjadala
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Mwelekeo mpya; Ukawa wasema serikali ya mseto inanukia 2015
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Serikali Rungwe yawaangukia wenyeviti
SERIKALI wilayani Rungwe, Mbeya, jana ilisalimu amri kwa wenyeviti wa serikali za vijiji baada ya kutangaza mgomo usio na kikomo kwa kuitisha mkutano wa wenyeviti wote wa Jimbo la Rungwe...
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Serikali yakemea ushirikina Rungwe
9 years ago
Habarileo22 Sep
Lowassa: Nitaunda tume ya mikataba ya gesi asilia
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amewaahidi wakazi wa Mtwara kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais, ataunda tume maalumu kuchunguza mikataba ya gesi asilia.