Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hoja ya serikali ya mseto Ukraine

Bunge limechelewa kuiunda serikali ya mseto kufuatia kung'atuliwa mamlakani rais Viktor Yanukovych, Limetangaza kuiunda Alhamisi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Rungwe: Nitaunda Serikali ya mseto

RungweNA DEBORA SANJA, DODOMA

 

MGOMBEA urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashim Rungwe amesema endapo akishinda nafasi hiyo, ataunda Serikali  ya mseto itakayoshirikisha vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Rungwe alisema Katiba haikatazi kuundwa kwa Serikali ya aina hiyo.

“Nitachagua watu wenye akili kutoka vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi kwa ajili ya kuunda Serikali, nitapunguza pia ukubwa wa Serikali ili fedha hizo zifanye...

 

10 years ago

Michuzi

NETANYAHU AUNDA SERIKALI YA MSETO ISRAEL

Waziri Mkuu wa Israel,Benjamin Netanyah.
Waziri Mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu,ameunda serikali mpya ya mseto kabla ya kumalizika muda uliopangwa kwa kiongozi huyo kuwasilisha serikali yake.Netanyahu alifanikiwa kukishawishi chama cha kiyahudi cha mrengo wa kulia cha Jewish Home Party baada ya Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali inayoondoka madarakani, Avigdor Lieberman, kukataa chama chake cha Yisrael Baitenu, kuwa sehemu ya muungano wa Likud.
Makubaliano hayo ya serikali ya mseto...

 

10 years ago

Mwananchi

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Samia: Ukawa ni ndoto kuunda serikali ya mseto

Mgombea mwenza wa urais wa chama Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Na Moshi Lusonzo 22nd September 2015 Adai sheria inasema chama kitakachoshinda ndicho kitaunda serikali, vinginevyo haiwezekani. Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi […]

The post Samia: Ukawa ni ndoto kuunda serikali ya mseto appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

MARIDHIANO: Serikali ya Mseto Zanzibar yazua mjadala

>Mustakabali wa uhai wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), upo shakani kutokana na wananchi kutofautiana kuhusu umuhimu wa kuendelea na mfumo huo wa uongozi, huku baadhi wakitaka iitishwe Kura ya Maoni kuamua hatma ya serikali hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwelekeo mpya; Ukawa wasema serikali ya mseto inanukia 2015

Matokeo ya awali ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika nchi kote hivi karibuni yanaonyesha kuwa wananchi wamebadilisha mitazamo yao dhidi ya vyama vya siasa na hivyo kutoa picha mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yapangua hoja za Zitto

muhongo

Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo.

MUHONGO(UTETEZI WA SERIKALI)
Anaomba radhi kama jana kulikuwa na usumbufu wa umeme na anawaagiza mameneja wote wa TANESCO wasikate umeme.
Anatoa pongezi juu ya mjadala wa Escrow, mengi yamesemwa na ni wakati wa kuanza mjadala kujua ukweli, Shukraan kwa CAG, TAKUKURU na PCCB kwa uchunguzi. Pia nawashukuru PAC, jana tulitulia kuwasikiliza PAC na leo tutulie tusikilize utetezi wangu.

Miaka ya 90 tulikuwa tuna upungufu wa umeme kutokana na...

 

11 years ago

Habarileo

Hoja kuhusu Serikali ya Umoja kuwasilishwa

MNADHIMU wa Baraza la Wawakilishi ambaye ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni, Salmin Awadh Salmin (CCM) amesema hoja binafsi ya kutaka kufutwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ipo na ataiwasilisha wakati muafaka ukifika.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Serikali ijibu hoja za wafanyabiashara

>Kwa muda mrefu sasa tangu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilipowataka kisheria wafanyabiashara wakubwa nchini kutumia mashine za EFD kukokotoa malipo ya kodi, imeibuka misuguano baina ya taasisi hiyo ya Serikali na wafanyabiashara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani