Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hoja kuhusu Serikali ya Umoja kuwasilishwa

MNADHIMU wa Baraza la Wawakilishi ambaye ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni, Salmin Awadh Salmin (CCM) amesema hoja binafsi ya kutaka kufutwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ipo na ataiwasilisha wakati muafaka ukifika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Hoja binafsi ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa yaja

Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura , Hamza Hassan JumaMWAKILISHI wa Jimbo la Kwamtipura , Hamza Hassan Juma (CCM) amesema anatarajia kuwasilisha hoja binafsi katika Baraza la Wawakilishi, itakayotoa nafasi kwa Wazanzibari kuulizwa tena kama wanataka Serikali ya Umoja wa Kitaifa kuendelea kuwepo katika mfumo uliopo sasa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hoja kuhusu Pepopunda Kenya yapuuzwa

Umoja wa Mataifa na Shirika la Afya duniani WHO zimepuzilia mbali hoja ya kanisa katoliki nchini Kenya ambalo lilipinga kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Pepo Punda nchini humo.

 

11 years ago

Michuzi

Hoja ya haja ya Mwenyekiti wa Watanzania wa Washington-Seattle kuhusu uraia pacha

Yamekuwepo malumbano na mada nyingi kuhusu uraia pacha na jinsi ilivyo muhimu kuwa na uraia pacha kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi, na hapa namaanisha siyo ughaibuni tu hata wale waishio nchi jirani zinazotuzunguka. Pamoja na mada zote nzuri naomba kwa ruksa yenu turudi kwenye sheria yenyewe ya uraia Tanzania kama inavyojulikana kama (Tanzania citizenship Act no 6 1995).  Katika mada yangu hii naomba tujikite hasa kwenye aina ya uraia unaotambuliwa na sheria hii pamoja na lengo la...

 

11 years ago

BBCSwahili

Hoja ya serikali ya mseto Ukraine

Bunge limechelewa kuiunda serikali ya mseto kufuatia kung'atuliwa mamlakani rais Viktor Yanukovych, Limetangaza kuiunda Alhamisi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yapangua hoja za Zitto

muhongo

Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo.

MUHONGO(UTETEZI WA SERIKALI)
Anaomba radhi kama jana kulikuwa na usumbufu wa umeme na anawaagiza mameneja wote wa TANESCO wasikate umeme.
Anatoa pongezi juu ya mjadala wa Escrow, mengi yamesemwa na ni wakati wa kuanza mjadala kujua ukweli, Shukraan kwa CAG, TAKUKURU na PCCB kwa uchunguzi. Pia nawashukuru PAC, jana tulitulia kuwasikiliza PAC na leo tutulie tusikilize utetezi wangu.

Miaka ya 90 tulikuwa tuna upungufu wa umeme kutokana na...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Serikali ijibu hoja za wafanyabiashara

>Kwa muda mrefu sasa tangu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilipowataka kisheria wafanyabiashara wakubwa nchini kutumia mashine za EFD kukokotoa malipo ya kodi, imeibuka misuguano baina ya taasisi hiyo ya Serikali na wafanyabiashara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT yaipongeza serikali kusikiliza hoja yao

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeipongeza serikali kwa kukubaliana na hoja yao ya kuwa na mwajiri mmoja. Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Rais wa chama hicho, Gratian Mukoba, alisema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Umoja wa Mataifa walaumiwa kuhusu Syria

Ripoti ya mashirika zaidi ya ishirini ya misaada ya kibinadamu na yale ya kutetea haki za binadamu yamelishutumu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kushindwa kutetea raia walio katikati ya vita nchini Syria.

 

10 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA: BARUA YA WAZI KWA GAZETI LA MWANANCHI NA BWANA HUMPHREY POLEPOLE KUHUSU URAIA PACHA KWA WATANZANIA.

Naomba unipe nafasi nitoe maoni yangu kuhusu Uraia pacha nikijbu maoni yaliyoandikwa kwenye gazeti la mwananchi na bwana Humphrey Polepole. Maoni yake yamenishangaza sana na mtu huyu anaonekana ana hujuzi kidogo katika mambo ya uandishi na ameamua kutumua ujuzi wake kudanganya watu kuhusu swala hili la urahia pacha kwa watanzania.

Napenda iheleweke kwamba urahia pacha sio kitu kigeni Tanzania. Kimsingi na kimazingira Tanzania inaruhusu urahia pacha. 
1.kwa watanzania wote walio na wazazi wenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani