HOJA YA HAJA: BARUA YA WAZI KWA GAZETI LA MWANANCHI NA BWANA HUMPHREY POLEPOLE KUHUSU URAIA PACHA KWA WATANZANIA.
Naomba unipe nafasi nitoe maoni yangu kuhusu Uraia pacha nikijbu maoni yaliyoandikwa kwenye gazeti la mwananchi na bwana Humphrey Polepole. Maoni yake yamenishangaza sana na mtu huyu anaonekana ana hujuzi kidogo katika mambo ya uandishi na ameamua kutumua ujuzi wake kudanganya watu kuhusu swala hili la urahia pacha kwa watanzania.
Napenda iheleweke kwamba urahia pacha sio kitu kigeni Tanzania. Kimsingi na kimazingira Tanzania inaruhusu urahia pacha.1.kwa watanzania wote walio na wazazi wenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Hoja ya haja ya Mwenyekiti wa Watanzania wa Washington-Seattle kuhusu uraia pacha

10 years ago
Michuzi04 Sep
HOJA YA HAJA: BARUA YA WAZI KWA WATANZANIA NA VIONGOZI WA VYAMA SIASA
Tanzania ya leo ina wananchi...
11 years ago
Michuzi09 Apr
hoja ya haja: ............ la Uraia Pacha
naomba pia uniruhusu kusema machache kuhusu mwanazuoni John Mashaka kwa sababu ametugusa kwa mamilioni. na hapana shaka wasomaji wote wa hii blog watakubaliana na mimi kuhusiana na...
11 years ago
Michuzi
hoja ya haja na Dakta Anicetus Temba juu ya uraia pacha

Nimetumia muda mwingi kusoma vipeperushi vya kitaalamu kuhusiana na suala linalojadiliwa sasa la uraia pacha katika Tanzania na Afrika kwa ujumla. Wakati nchi nyingi za Kiafrka zikionekana kuelekea katika mfumo wa uraia pacha Tanzania bado tuna kazi kubwa ya kuelimisha jamii kuhusiana na umuhimu wa sulala hili. Inawezekana kabisa suala hili linaweza lisipewe kipaumbele katika Bunge Maaumu la Katiba. Maombi yetu ni kuliomba Bunge hilo lijadili mada hii kwa undani na kwa mapana yake....
10 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
HUMPHREY POLEPOLE: AIPIGIA KAMPENI CCM KWA KUSINGIZIA RASIMU YA WARIOBA
Natumai humajambo ndugu Watanzania Wa Tanganyika na Zanzibar. Na assalamu alaikhum ndugu wote Waislamu muliopo ndani na Nje ya Visiwa vyetu adhimu. Ama kwakuanza makala yangu hii nimeweza kufuatilia Humphrey Polepole. Kijana ambae alikuwa Makini kuitetea […]
The post HUMPHREY POLEPOLE: AIPIGIA KAMPENI CCM KWA KUSINGIZIA RASIMU YA WARIOBA appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi05 Oct
Bunge lilivyozika hoja ya uraia pacha
11 years ago
Habarileo05 Aug
Kikwete- Jengeni hoja uraia pacha
RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania waishio nje ya nchi na wanaotaka kuona Tanzania inakubali kuanzisha mfumo wa uraia pacha, kutumia muda wao kujenga hoja za jambo hilo badala ya kupoteza muda kwenye mijadala ya blogu na kulaumu watu wengine.
11 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Hili ndilo jibu la hoja ya uraia pacha!
MIMI si mmoja wa watu wanaoamini katika pendekezo kuwa Katiba mpya iweke ndani kipengele cha kutambua uraia wa nchi mbili au kama wengine wanavyouita “uraia pacha”. Kumekuwepo na wanaharakati na...
11 years ago
Michuzi12 Aug
Hoja ya haja: DIASPORA NA URAI PACHA (dual citizenship)
Na Ndugu Kagutta N.Maulidi

Tunapoendelea kufuatilia majadiliano ya wajumbe maaluum wa bunge la katiba si vibaya tukaweka msisitizo au kuwakumbusha wajumbe wetu kuhusu mada iliyopo katika rasimu ya katiba sura ya tano inayozungumzia urai pacha.
Nchi yetu bado haitambui uraia wa nchi mbili, kwa maana kuwa ukichukua uraia wa nchi nyingine unapoteza haki ya Urai wako wa Tanzania. Tunashukuru kuwa swala hili limeingizwa katika rasimu ya pili ya katiba,ili liweze kujadiliwa .Sisi Watanzania...