MAONI: Serikali ijibu hoja za wafanyabiashara
>Kwa muda mrefu sasa tangu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilipowataka kisheria wafanyabiashara wakubwa nchini kutumia mashine za EFD kukokotoa malipo ya kodi, imeibuka misuguano baina ya taasisi hiyo ya Serikali na wafanyabiashara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Serikali ijibu fumbo la lugha ya kufundishia nchini
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Serikali yetu sikivu ijibu maswali haya muhimu
10 years ago
Mwananchi19 Nov
MAONI: Mawaziri waache mzaha na hoja za wabunge
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Serikali yapangua hoja za Zitto
Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo.
MUHONGO(UTETEZI WA SERIKALI)
Anaomba radhi kama jana kulikuwa na usumbufu wa umeme na anawaagiza mameneja wote wa TANESCO wasikate umeme.
Anatoa pongezi juu ya mjadala wa Escrow, mengi yamesemwa na ni wakati wa kuanza mjadala kujua ukweli, Shukraan kwa CAG, TAKUKURU na PCCB kwa uchunguzi. Pia nawashukuru PAC, jana tulitulia kuwasikiliza PAC na leo tutulie tusikilize utetezi wangu.
Miaka ya 90 tulikuwa tuna upungufu wa umeme kutokana na...
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Hoja ya serikali ya mseto Ukraine
11 years ago
Habarileo24 May
Hoja kuhusu Serikali ya Umoja kuwasilishwa
MNADHIMU wa Baraza la Wawakilishi ambaye ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni, Salmin Awadh Salmin (CCM) amesema hoja binafsi ya kutaka kufutwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ipo na ataiwasilisha wakati muafaka ukifika.
10 years ago
Habarileo31 Mar
Hoja binafsi ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa yaja
MWAKILISHI wa Jimbo la Kwamtipura , Hamza Hassan Juma (CCM) amesema anatarajia kuwasilisha hoja binafsi katika Baraza la Wawakilishi, itakayotoa nafasi kwa Wazanzibari kuulizwa tena kama wanataka Serikali ya Umoja wa Kitaifa kuendelea kuwepo katika mfumo uliopo sasa.
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
CWT yaipongeza serikali kusikiliza hoja yao
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeipongeza serikali kwa kukubaliana na hoja yao ya kuwa na mwajiri mmoja. Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Rais wa chama hicho, Gratian Mukoba, alisema...