Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ijibu fumbo la lugha ya kufundishia nchini

>Je, lugha ipi itumike kufundishia elimu ya msingi?  Hili ni swali ambalo kwa muda mrefu limekuwa likiibua mijadala katika duru za kisomi na ndani ya jamii kwa jumla.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lugha ya kufundishia shuleni inavyowachanganya wanafunzi

Mjadala wa lugha ipi inapaswa kutumia kufundishia katika ngazi mbalimbali za elimu nchini, umeendelea kusumbua vichwa vya watu wengi, wakiwamo wasomi na wadau wa elimu

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mtembea peku ashinikiza Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia

MJADALA wa lugha ya kuundishia umejadiliwa kwa kirefu katika ngazi zote za elimu na taasisi zake, wataalamu wa lugha, wahadhiri na walimu katika ngazi ya msingi na sekondari wanajadili na mwafaka haujapatikana.

Richard Ricardo maarufu Father Pekupeku kutokana na tabia yake ya kutovaa viatu naye anaishawishi serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iridhie Kiswaili kuwa lugha ya kufundishia kama yalivyo mataifa mengine yanavyotumia lugha zao za taifa katika elimu.

Huyu...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Serikali ijibu hoja za wafanyabiashara

>Kwa muda mrefu sasa tangu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilipowataka kisheria wafanyabiashara wakubwa nchini kutumia mashine za EFD kukokotoa malipo ya kodi, imeibuka misuguano baina ya taasisi hiyo ya Serikali na wafanyabiashara.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yetu sikivu ijibu maswali haya muhimu

Napenda niikumbushe serikali kwamba kuna maswali ilipewa na viongozi wa kanisa, yaani, Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF), Machi mwaka jana, lakini hadi leo bado haijatoa majibu sahihi ya maswali hayo mbali na kusema “uchunguzi bado unaendelea”.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kutoa tabuleti ya kufundishia sekondari

SERIKALI inakusudia kutoa tabuleti ya kufundishia masomo mbalimbali kwa wanafunzi na walimu wa shule za sekondari nchini, kama njia ya kukabili changamoto kwenye sekta ya elimu kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT). Ili kufanikisha mpango huo, Serikali inakusudia kuingia ushirikiano na taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Opportunity Education Trust ya Marekani.

 

9 years ago

StarTV

Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

 

Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.

Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.

Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yaonya wauguzi kwa lugha mbaya

SERIKALI imewataka wauguzi nchini kuacha kutoa lugha mbaya kwa wananchi. Badala yake, wametakiwa kuboresha utoaji wa huduma za afya na kuwa wepesi wa kusahihisha mapungufu ili kuhakikisha huduma sahihi zinatolewa.

 

10 years ago

Michuzi

Nchi 19 zashiriki Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni nchini

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akiwahutubia washiriki wa Tamasha la Kimatafa la Lugha na Utamaduni lililoandaliwa na Kilimanjaro Dialogue Institute na kufanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jana Jijini Dar es Salaam na kuhusisha washiriki kutoka nchi 19 wakiwa na lengo la kuhamasisha matumizi ya lugha ya kiswahili.Rais wa Kilimanjaro Dialogue Institute Bw. Ali Akkiz akizungumza na washiriki wa Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa maktaba zaidi badala ya baa; utachangia maendeleo ya lugha nchini

Karibuni Bunge letu limejadiliana lugha ipi itumike kufundisha wanafunzi Tanzania. Mmoja wa wabunge, Kombo Khamis Kombo, alisema Wakenya wanatuzidi sasa hivi kwa Kiswahili. Siri kuu ya Wakenya kupiga hatua katika lugha imesimama dede katika elimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani