Mtembea peku ashinikiza Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia
MJADALA wa lugha ya kuundishia umejadiliwa kwa kirefu katika ngazi zote za elimu na taasisi zake, wataalamu wa lugha, wahadhiri na walimu katika ngazi ya msingi na sekondari wanajadili na mwafaka haujapatikana.
Richard Ricardo maarufu Father Pekupeku kutokana na tabia yake ya kutovaa viatu naye anaishawishi serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iridhie Kiswaili kuwa lugha ya kufundishia kama yalivyo mataifa mengine yanavyotumia lugha zao za taifa katika elimu.
Huyu...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Sep
Ushahidi kuwa Kiswahili ni lugha ya Kibantu
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Katiba Mpya iwezeshe Kiswahili kuwa lugha rasmi ya mawasiliano kitaifa
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Lugha ya kufundishia shuleni inavyowachanganya wanafunzi
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Serikali ijibu fumbo la lugha ya kufundishia nchini
10 years ago
VijimamboDARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE MINGINE .
KIINGILIO BUREEEEE

10 years ago
Habarileo15 May
Kapuya apinga Kiswahili kutumika kufundishia
SERIKALI imehadharishwa kutowatenga Watanzania na ulimwengu kwa kutekeleza sehemu ya Sera ya Elimu, inayotaka Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia kutoka shule ya awali mpaka chuo kikuu.
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili
5 years ago
Michuzi
Wahadhiri 21 Wapatiwa Mafunzo ya Stadi za Kufundishia Kiswahili kwa Wageni

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akisisitiza kuwasilisha orodha ya majina ya wataalamu wa kufundisha Kiswahili kwa wageni kwa Waziri wa Mambo ya nje kwa lengo la kusambazwa katika balozi mbalimbali Tanzania nje ya nchi leo Jijini Dodoma alipokuwa akifungua mafunzo ya kuimarisha stadi za kufundishaKiswahili kwa wageni kwa wahadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma yaliyoratibiwa na Baraza la Kiswahili Tanzania.
