Wahadhiri 21 Wapatiwa Mafunzo ya Stadi za Kufundishia Kiswahili kwa Wageni
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akisisitiza kuwasilisha orodha ya majina ya wataalamu wa kufundisha Kiswahili kwa wageni kwa Waziri wa Mambo ya nje kwa lengo la kusambazwa katika balozi mbalimbali Tanzania nje ya nchi leo Jijini Dodoma alipokuwa akifungua mafunzo ya kuimarisha stadi za kufundishaKiswahili kwa wageni kwa wahadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma yaliyoratibiwa na Baraza la Kiswahili Tanzania.Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Kiswahili zaidi ya lulu kwa wageni
10 years ago
Habarileo15 May
Kapuya apinga Kiswahili kutumika kufundishia
SERIKALI imehadharishwa kutowatenga Watanzania na ulimwengu kwa kutekeleza sehemu ya Sera ya Elimu, inayotaka Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia kutoka shule ya awali mpaka chuo kikuu.
11 years ago
Michuziwaendesha bodaboda lindi wapatiwa mafunzo, wapima afya kwa hiari
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Mtembea peku ashinikiza Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia
MJADALA wa lugha ya kuundishia umejadiliwa kwa kirefu katika ngazi zote za elimu na taasisi zake, wataalamu wa lugha, wahadhiri na walimu katika ngazi ya msingi na sekondari wanajadili na mwafaka haujapatikana.
Richard Ricardo maarufu Father Pekupeku kutokana na tabia yake ya kutovaa viatu naye anaishawishi serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iridhie Kiswaili kuwa lugha ya kufundishia kama yalivyo mataifa mengine yanavyotumia lugha zao za taifa katika elimu.
Huyu...
9 years ago
MichuziWACHIMBAJI WADOGO SHINYANGA WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO
11 years ago
MichuziWAPATIWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Mashirika na wageni wanavyokuza Kiswahili
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Wapatiwa mafunzo kutatua migogoro
SERIKALI wilayani Mkuranga, Pwani, imeombwa kutoa elimu ya sehemu sahihi ya kufikisha migogoro ya ardhi na namna ya kuitatua, ili kupunguza wimbi la migogoro hiyo. Ombi hilo lilitolewa mwishoni mwa...
10 years ago
VijimamboWANDISHI WA HABARI MBEYA WAPATIWA MAFUNZO
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10