Mashirika na wageni wanavyokuza Kiswahili
Nchi za Skandinavia ni Sweden, Denmark, Norway na Finland. Nchi hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu.Tumeshuhudia miradi mbalimbali ikidhaminiwa na nchi hizi mathalan mradi wa maji uliodhaminiwa na Denmark kupitia wakala wake wa DANIDA. Mawakala wengine wa nchi hizi ni SIDA kutoka Sweden na NORAD kutoka Norway.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Kiswahili zaidi ya lulu kwa wageni
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Wy00IAR6xCs/XmoxnvJyCII/AAAAAAALix0/VIVl9wfpUkU6_yofGOKluW7DbTa5NG7tQCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1-4.jpg)
Wahadhiri 21 Wapatiwa Mafunzo ya Stadi za Kufundishia Kiswahili kwa Wageni
![](https://1.bp.blogspot.com/-Wy00IAR6xCs/XmoxnvJyCII/AAAAAAALix0/VIVl9wfpUkU6_yofGOKluW7DbTa5NG7tQCLcBGAsYHQ/s640/PIX-1-4.jpg)
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akisisitiza kuwasilisha orodha ya majina ya wataalamu wa kufundisha Kiswahili kwa wageni kwa Waziri wa Mambo ya nje kwa lengo la kusambazwa katika balozi mbalimbali Tanzania nje ya nchi leo Jijini Dodoma alipokuwa akifungua mafunzo ya kuimarisha stadi za kufundishaKiswahili kwa wageni kwa wahadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma yaliyoratibiwa na Baraza la Kiswahili Tanzania.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/PIX-2AAA-1024x682.jpg)
11 years ago
Mwananchi22 Jul
KISWAHILI KWA WANAFUNZI: Ngeli tisa za Kiswahili na upatanisho wa kisarufi
10 years ago
VijimamboDARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE MINGINE .
KIINGILIO BUREEEEE
![](http://www.columbiaengineering.com/Lists/Photos/Community/White%20Oak%20Community%20Center.jpg)
11 years ago
Michuzi17 May
CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, WATAKA KATIBA MPYA KISWAHILI KIPEWE NAFASI
![](https://3.bp.blogspot.com/-DjAqPB6POFI/U3dgBR2MovI/AAAAAAABoNI/xWtWqCobeG8/s640/IMG_0987.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-oUwZr4WMSkQ/U3dflJ5J2XI/AAAAAAABoMo/V-8dVuzJfLw/s640/IMG_0989.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-uY1rc3qzWko/U3dgdSdAufI/AAAAAAABoNY/xcZMTNmPxF4/s640/IMG_0995.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-LbfTmwZVtS8/U3dg6QxE1tI/AAAAAAABoN4/WHF3kALUvEU/s640/IMG_1000.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-6tTe8omDQNY/U3dg2SD1q9I/AAAAAAABoNs/qnamPZ5O7eM/s640/IMG_1001.jpg)
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Mashirika ya umma balaa
10 years ago
Habarileo23 Jun
Mashirika ya ndege yagomea viwanja
MASHIRIKA ya ndege nchini, yamedaiwa kukataa kutumia viwanja vidogo vya ndege katika baadhi ya mikoa, kwa sababu ya hofu ya kutofanya biashara na miundombinu mibovu, hivyo kuvifanya viwanja hivyo kutotumika.
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Marekani yaonya mashirika ya ndege
11 years ago
Habarileo13 Mar
Msajili Hazina abana mashirika
MASHIRIKA, taasisi na asasi zote za umma, zimeagizwa kuhakikisha zinajisajili na kuingia mikataba ya utendaji na Msajili wa Hazina. Lengo la hatua hiyo ni kupima utendaji wake ili ziweze kuchangia asilimia 10 ya pato lake katika Mfuko wa Hazina.