Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, WATAKA KATIBA MPYA KISWAHILI KIPEWE NAFASI

Mlezi wa chama  cha Chawakama na mwalimu wa kiswahili chuo kikuu cha Iringa Tulla Tweve  akitambulisha  wageni Mmoja kati ya  viongozi akieleza malengo ya Chawakama Mwalimu Chalamila akieleza  maana ya lugha ya kiswahili Mwalimu wa kiswahili  chuo cha Iringa ambae ni msanii wa wimbo wa Mufindi yetu  akiburudisha Wanachama  wakicheza  na msanii  huyo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video: Wanafunzi wa Kiswahili chuo kikuu cha Florida na project ya wimbo wa Diamond

Hii ni video ya wanafunzi wa awali wa lugha ya Kiswahili walioshiriki kwenye mradi wa mwaka 2014 uitwao African Language Initiative (AFLI) katika chuo kikuu cha, Gainesville, Florida nchini Marekani. Wakijifunza lugha hiyo kwa miezi sita, waliamua kutengeneza filamu hii fupi kama kumbukumbu ya muda mzuri waliokuwa nao kwenye mradi huo ulioongozwa na Wakenya, Filipo […]

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA KISWAHILI SIKU YA CHAUKIDU CHUO KIKUU CHA HOWARD


 Asha Nyang.anyi akiwa kwenye meza akikagua majina ya wadau wa Kiswahili kwenye sherehe ya  Chama Cha Ukuzaji Wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) inayoendelea sasa hizi chuo kikuu cha Howard kilichopo Washington, DC na Rais msataafu Ali Hassan Mwinyi atakua mgeni rasmi.Wadau wa Kiswahili wakiendelea kuingia ukumbini. Wadau kutoka Zanzibar wakipata picha Walimu wa kiswahili wa vyuo mbalimbali wakipata picha ya pamoja. wadau wa Kiswahili wakihudhuria sherehe ya CHAUKIDU Walimu na maporofesa wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar mgeni rasmi kwenye hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi alisema kwamba utitiri wa vyuo vikuu bila ya ubora wa elimu inayotolewa ni jambo linalopelekea vyuo hivyo kutoa vijana wasiouzika kiajira katika taasisi mbali mbali za umma na hata zile za binafsi.
Mama Asha Suleiman Iddi alisema hayo wakati wa hafla maalum ya kuagana kwa wana jumuiya ya wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro wa ZAMUMSA ambao wanatarajiwa kumaliza mafunzo yao mwezi Novemba mwaka huu...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI AONGOZA MAHAFALI YA TISA YA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA (MOCU)

Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Dkt Richard Sezibera akizungumza wakati wa mahafali ya tisa ya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU)Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) AL-Noor Kassum akiwatunuku wanafunzi wa ngazi mbalimbali waliohitimu masomo yao Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU)
Wakunzi na baadhi ya watumishi wa kada nyingine katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi(MOCU) wakiwa katika mahafali ya tisa chuoni hapo yaliyofanyika katika uwanja wa Chuo...

 

11 years ago

Mwananchi

KISWAHILI KWA WANAFUNZI: Ngeli tisa za Kiswahili na upatanisho wa kisarufi

Ngeli ni vikundi vya majina ya Kiswahili. Ngeli za nomino ni utaratibu unaotumika kuweka nomino katika matabaka au makundi yanayofanana.

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa Kiswahili Afrika Mashariki

Katika makala iliyotangulia nilieleza juu ya juhudi za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zilivyojitahidi kuendeleza lugha ya Kiswahili, ili iwe na taswira ya utangamano kwa wananchi wa nchi hizi.

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa kuunganisha Kiswahili Afrika Mashariki

Katika taarifa ya utafiti uliochapishwa hivi karibuni imeelezwa kuwa Watanzania wengi wanataka kuunganishwa katika shughuli mbalimbali za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI MKAONI IRINGA LINAWASHIKILIA WANANCHUO 89 WA CHUO KIKUU CHA IRINGA

Wanafunzi  wa  Chuo  Kikuu cha Iringa  wakiwa katika mgomo  leo kutokana na kutopata mkopo kwa wakati ambapo inapelekea kushindwa  kabisa  kuendesha maisha  yao  chuoni  hapo baada ya  serikali  kupitia  bodi ya  mikopo  kuwacheleweshea  pesa  zao.Viongozi  wa  serikali ya wanafunzi wa Chuo  Kikuu cha Iringa  wakiwatuliza  wenzao  leo baada ya mgomo wa wanachuo wa chuo cha RUCU kugoma wakishinikiza kupewa mikopo yao ili kuendesha maisha chuoni hapo.Mkuu  wa chuo  kikuu ya Iringa Prof Joshua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani