Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JESHI LA POLISI MKAONI IRINGA LINAWASHIKILIA WANANCHUO 89 WA CHUO KIKUU CHA IRINGA

Wanafunzi  wa  Chuo  Kikuu cha Iringa  wakiwa katika mgomo  leo kutokana na kutopata mkopo kwa wakati ambapo inapelekea kushindwa  kabisa  kuendesha maisha  yao  chuoni  hapo baada ya  serikali  kupitia  bodi ya  mikopo  kuwacheleweshea  pesa  zao.Viongozi  wa  serikali ya wanafunzi wa Chuo  Kikuu cha Iringa  wakiwatuliza  wenzao  leo baada ya mgomo wa wanachuo wa chuo cha RUCU kugoma wakishinikiza kupewa mikopo yao ili kuendesha maisha chuoni hapo.Mkuu  wa chuo  kikuu ya Iringa Prof Joshua...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

CHUO KIKUU IRINGA WAENDELEA NA MGOMO

Na Friday Simbaya, Iringa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa (zamani Chuo Kikuu cha Tumaini) kutoka vitivo vyote wamegoma kuingia madarasani kuushinikiza uongozi wa chuo hicho kutafuta njia mbadala ya kuwapatia fedha za kujikimu na chakula wakati wanaposubiri fedha zao kutoka Bodi ya Mikopo ambazo zimechelewa kutolewa. Wanafunzi hao wamesema hali yao ni mbaya na hawezi kusoma kutokana na mazingira waliyonayo kwa sasa kwani hata chakula kukipata kwao imekuwa ni changamoto kubwa. Tatizo la...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAHABARI MKOA WA IRINGA WAKUTANA NA JESHI LA POLISI KATIKA KIKAO CHA MAHUSIANO MEMA‏

Baadhi ya wanahabari mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa mara baada ya kumalizika kikao chao cha mahusiano mema na kutambulishana kati ya wanahabari na viongozi wapya wa Jeshi la Polisi. Waliokaa ni Kamanda wa Polisi Ramadhan Mungi wa tatu kushoto akifuatiwa na mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Iringa (IPC) Frank Leonard na katibu wa IPC Francis Godwin na maofisa wengine wa polisi mkoa.Baadhi ya askari...

 

11 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, WATAKA KATIBA MPYA KISWAHILI KIPEWE NAFASI

Mlezi wa chama  cha Chawakama na mwalimu wa kiswahili chuo kikuu cha Iringa Tulla Tweve  akitambulisha  wageni Mmoja kati ya  viongozi akieleza malengo ya Chawakama Mwalimu Chalamila akieleza  maana ya lugha ya kiswahili Mwalimu wa kiswahili  chuo cha Iringa ambae ni msanii wa wimbo wa Mufindi yetu  akiburudisha Wanachama  wakicheza  na msanii  huyo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

WANAHABARI MKOA WA IRINGA WAKUTANA NA JESHI LA POLISI KATIKA KIKAO CHA MAHUSIANO MEMA‏

Baadhi ya wanahabari  mkoa  wa Iringa  wakiwa katika picha  ya pamoja na viongozi  wa  Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa mara baada ya  kumalizika  kikao  chao cha mahusiano mema na kutambulishana kati ya wanahabari na viongozi wapya wa  Jeshi  la Polisi. Waliokaa ni Kamanda wa Polisi Ramadhan Mungi wa tatu  kushoto akifuatiwa na mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Iringa (IPC)...

 

10 years ago

Vijimambo

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa lateketea kwa moto

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla,chanzo kilichepekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo.Washuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.CHANZO MICHUZI BLOG

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa lateketea kwa moto

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla,chanzo kilichepekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo.
Washuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.

 

11 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KAZI NA SHULE CHUO CHA RUNGEMBA MISSION, IRINGA

CHUO CHA RUNGEMBA MISSION, IRINGA, KINATOA NAFASI ZA MASOMO KWA MUHURA WA 2014 ,CHUO KINAFUNDISHA UALIMU WA SECONDARY NA WA SHULE YA MSINGI. CHUO KIMESAJILIWA NA NATE RGE/KLF/011T USAJIRI WA NECTA ,NUMBER YA KITUO CHA MITIHANI E643. 
KWA MAWASILIANO ZAIDI : MKUU WA CHUO:0763833021 MENEJA WA CHUO: 0763818244 KARANI:0677987906
NAFAZI ZA KAZI YA UALIMU CHUO CHA RUNGEMBA MISSION IRINGA CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA KAZI KWA WALIMU WA SHULE YA MSINGI NA WALIMU WA SECONDARI WALIO NA UZOEFU...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani