Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa lateketea kwa moto
Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla,chanzo kilichepekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo.
Washuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.CHANZO MICHUZI BLOG
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZZ.....: Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa lateketea kwa moto

Washuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.
10 years ago
GPL
TRANSFOMA LALIPUKA NA KUTEKETEA KWA MOTO ENEO LA MGOLOLO, IRINGA
Wananchi wakishuhudia janga la moto uliozuka mara baada ya transfoma la kituo kikuu cha umeme Mgololo, Iringa kulipuka ghafla na kuteketea. Moto ukizidi kuteketeza transfoma hilo.
TRANSFOMA la kituo kikuu…
11 years ago
GPL
MOTO WATEKETEZA KITUO CHA KUPOZEA UMEME CHA MJINI MOSHI
Askari wa kikosi cha Zimamoto wakifika eneo la tukio. Wananchi wakishuhudia juhudi za kuzima moto.
Moto ukiendelea.…
11 years ago
Michuzi
news alert: Moto wateketeza kituo cha kupozea umeme cha mjini Moshi asubuhi hii
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. Transforma zinazosambaza umeme katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro zilizoko eneo la Bomambuzi zimewaka moto asubuhi hii muda mfupi baada ya kutokea shoti ambayo haijafahamika chanzo chake ni nini. Moto huo umetokea majira ya saa 1:10 na kusababisha maeneo kadhaa ya mji wa Moshi kukosa umeme hadi sasa. Globu ya jamii imeshuhudia kikosi cha zimamoto kutoka manispaa ya moshi kikijaribu kuzima moto huo ambao hata...
5 years ago
Michuzi
Simba Jamii Tanzania latoa msaada tanki la maji na kifaa cha kuzalisha umeme kituo cha kulelea watoto Yatima mkoani Morogoro
Mnamo tarehe 04 April 2020 kundi la Simba Jamii Tanzania " Ultras" lilikabidhi zawadi ya tank la maji la lita 2,000 pamoja na kifaa cha kuzalisha umeme Jua (Solar) kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Ukhty Raya kilichopo eneo la Mindu mkoani Morogoro.
Akikabidhi misaada hiyo mwakilishi wa Simba Jamii mkoani Morogoro Bwana Rashid "Wizzy" Mbegu alimfahamisha mlezi na msimamizi wa kituo hicho Bi Raya kuwa Simba Jamii itawakabidhi watoto wote wa kituo hicho pea 50 za viatu ilivyovipokea...

MichuziKilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...
5 years ago
Michuzi
KITUO KIKUU CHA MABASI CHA DODOMA KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI, MKURUGENZI WA JIJI AFUNGUKA
Charles James, Michuzi TV
JIJI la Dodoma limesema ifikapo Juni 30 mwaka huu ndio itakua mwisho kwa Mabasi makubwa ya abiria kupaki nje ya Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi katika mkutano wake na wandishi wa habari wakati alipotembelea Ujenzi wa Kituo hicho kinachojengwa katika eneo la Nzuguni.
Kunambi amesema ujenzi wa Kituo hiko ambacho kitakua kikubwa kuliko vyote kwa ukanda wa Afrika Mashariki tayari umekamilika...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania