Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo

Salam kwako Ankal na timu nzima ya Globu ya Jamii,
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na  utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO

Maji yakiwa yamejaa katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani, Ubungo. Kufuatia mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, maeneo…

 

5 years ago

Michuzi

KITUO KIKUU CHA MABASI CHA DODOMA KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI, MKURUGENZI WA JIJI AFUNGUKA

Charles James, Michuzi TV

JIJI la Dodoma limesema ifikapo Juni 30 mwaka huu ndio itakua mwisho kwa Mabasi makubwa ya abiria kupaki nje ya Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi katika mkutano wake na wandishi wa habari wakati alipotembelea Ujenzi wa Kituo hicho kinachojengwa katika eneo la Nzuguni.

Kunambi amesema ujenzi wa Kituo hiko ambacho kitakua kikubwa kuliko vyote kwa ukanda wa Afrika Mashariki tayari umekamilika...

 

11 years ago

Michuzi

kilio cha mdau juu ya hali ya uchafuzi wa Mazingira

Naomba kutoa pendekezo kwa Wizara husika,Wakuu wa mikoa ,Wakuu wa wilaya , Mameya na Halimashauri husika juu ya uchafu unaozidi kukidhili kila siku kwa baadhi ya maeneo ya miji mikuu na karibu na mahoteli yanayolisha wasafiri kuelekea mikoani, nadhani na wao pia watakuwa mashaidi juu ya mifuko ya plastic inayozagaa ovyo barabarani, na mitaro ya maji iliyojaa mifuko na maji machafu, na mchanga iliyoachwa baada ya kuziburiwa katika mitaro,
Ombi langu kwa 
Serikali itoe ajira kwa vijana wasio na...

 

10 years ago

Mtanzania

Kituo cha mabasi Ubungo ‘kinavyotafunwa’

Katika gazeti hili toleo la jana, tuliaandika namna mapato yanayopatikana katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo, (UBT) kilichopo jijini Dar es Salaam, yanavyokusanywa na kuishia mikononi mwa watu wachache huku miundombinu yake ikizidi kudorora.

Watoto walala juu ya miti
Gazeti hili lilibaini kuwapo kundi kubwa la watoto kutoka mikoa mbalimbali wamejenga makazi yao ya kudumu katika eneo hilo na kuwa sehemu ya maisha yao.

Jua linapozama watoto hao wenye umri kati ya miaka 7 hadi...

 

10 years ago

Mwananchi

Utapeli wakithiri Kituo cha Mabasi Ubungo

Kama siyo mwenyeji wa jiji hili au kama hujatembelea maeneo ya Ubungo kwa muda mrefu unaweza kupoteza ramani ya hapa. Kwa sasa eneo hili lina mwonekano tofauti kiasi ukilinganisha na kipindi cha nyuma. 

 

10 years ago

Mwananchi

Kero za wasafiri Kituo cha Mabasi Ubungo

Januari 21 mwaka jana iliendeshwa operesheni ya kubomoa majengo kwenye kituo cha mabasi yaendayo nje ya mkoa cha Ubungo, (Ubungo Bus Terminal Stand, UBS). 

 

11 years ago

GPL

AJALI MBAYA KITUO CHA MABASI UBUNGO JIJINI DAR

Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam. Ajari mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajari imehusisha magari 6 likiwemo UDA mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL YAMULIKA UBOMOAJI WA KITUO CHA MABASI, FOLENI UBUNGO

    Mafundi wakivunja vibanda vya kukatia tiketi.     Nguzo za umeme wa nguvu kubwa ‘zikipita’ juu ya wabomoaji.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani