Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kilio cha mdau juu ya hali ya uchafuzi wa Mazingira

Naomba kutoa pendekezo kwa Wizara husika,Wakuu wa mikoa ,Wakuu wa wilaya , Mameya na Halimashauri husika juu ya uchafu unaozidi kukidhili kila siku kwa baadhi ya maeneo ya miji mikuu na karibu na mahoteli yanayolisha wasafiri kuelekea mikoani, nadhani na wao pia watakuwa mashaidi juu ya mifuko ya plastic inayozagaa ovyo barabarani, na mitaro ya maji iliyojaa mifuko na maji machafu, na mchanga iliyoachwa baada ya kuziburiwa katika mitaro,
Ombi langu kwa 
Serikali itoe ajira kwa vijana wasio na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo

Salam kwako Ankal na timu nzima ya Globu ya Jamii,
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na  utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...

 

11 years ago

Habarileo

Chanzo cha uchafuzi wa mazingira Kahama chaelezwa

ONGEZEKO la watu pamoja na mwingiliano wa biashara katika Mji wa Kahama kumeelezwa kuwa chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchafuzi wa mazingira waathiri Ziwa Victoria

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida upatikanaji wa samaki katika Ziwa Victoria umeshuka kutoka tani 750,000 hadi kufikia wastani wa tani 180,000. Hii inatokana na uchafuzi mkubwa wa mazingira. Uchafuzi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini Mwanza wanafumbia macho uchafuzi wa mazingira?

“SIKIO la kufa halisikii dawa.” Huu ni usemi wa wahenga ambao hutumika mtu anapozungumzia matatizo kwa mhusika, lakini mshauriwa anapuuzia. Kwa sasa, Mkoa wa Mwanza unatajwa na serikali kwamba asilimia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchafuzi mazingira Mwanza na danadana za kuchukua hatua

LICHA ya kuwepo kwa sera na sheria zinazozuia uchafuzi wa mazingira nchini, hali hii inaonekana kuibua mapya katika uongozi wa Jiji la Mwanza. Ingawa wapo baadhi ya watu wanaodaiwa kutiririsha...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA KIKAO CHA DHARURA CHA HALI YA MAZINGIRA KATIKA MIGODI YOTE NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kwa wajumbe wa kikao cha dharura kinachohusu masuala ya Migodi nchini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha dharura kuhusu Masuala ya Migodi nchini kulia Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano  Mhe  Mussa Azan Zungu kushoto Waziri wa Madini Mhe Dotto Biteko. Kikao  hicho ...

 

9 years ago

StarTV

Uchafuzi Wa Mazingira Mwanza Hatua kali kuchukuliwa kwa wahusika

Kamati ya usafi wa mazingira ya Pasiansi Mashariki imeitaka halmashauri ya jiji la Mwanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wale wote wanaohusika kuchafua mazingira na kuhatarisha maisha ya watu.

Ni kutokana na kuwepo kwa baadhi ya watu ambao wanadaiwa kutiririsha maji taka na vinyesi katika mitaro inayotiririshamaji kuelekea katika Ziwa Viktoria.

Haya yanajiri katika ziara ya kushtukiza iliyofanywa na diwani wa kata ya Kawekamo wilayani Ilemela jijini Mwanza Japhesi Joel pamoja na kamati...

 

10 years ago

GPL

AZZY MLEMAVU MWENYE KIPAJI CHA HALI YA JUU

Msanii wa Hip Hop, Ahazi Eliya a.k.a Azzy akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Azzy akiwa katika pozi kabla ya mahojiano na Global TV Online. Azzy akielezea historia yake ndani ya Global TV Online.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani