MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA KIKAO CHA DHARURA CHA HALI YA MAZINGIRA KATIKA MIGODI YOTE NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kwa wajumbe wa kikao cha dharura kinachohusu masuala ya Migodi nchini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha dharura kuhusu Masuala ya Migodi nchini kulia Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe Mussa Azan Zungu kushoto Waziri wa Madini Mhe Dotto Biteko. Kikao hicho ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MUUNGANO SAMIA SULUHU HASSAN ATOA WITO WA KUTUNZA MALI ASILI NA MAZINGIRA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UbhF3YILPdQ/VmflLuX_YgI/AAAAAAACmqo/gtxDL-dFkLc/s72-c/6.jpg)
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI NA WANANCHI WA ENEO LAKE KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA, MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU.
![](http://1.bp.blogspot.com/-UbhF3YILPdQ/VmflLuX_YgI/AAAAAAACmqo/gtxDL-dFkLc/s640/6.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kuzoa taka na baadhi ya wananchi wakazi wa eneo lake la Oysterbay- Karume Raod, wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-Yzr49bVVyqg/VmflMIPfw3I/AAAAAAACmqs/j_0tXVT_yzw/s640/7.jpg)
5 years ago
CCM BlogMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA HARAMBEE YA CCM MKOA WA PWANI
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DTrQxVKO6RA/VmLIsv9MHfI/AAAAAAAIKVo/nDNi5BZmAd0/s72-c/3B.jpg)
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China
![](http://2.bp.blogspot.com/-DTrQxVKO6RA/VmLIsv9MHfI/AAAAAAAIKVo/nDNi5BZmAd0/s640/3B.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan, na Rais Mstaafu wa awamu ya Tano, Dkt. Jakaya Kikwete, wakiangalia moja ya Ndege ya Kivita ya mfano, wakati walipotembelea Mabanda ya maonesho ya Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana. Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015.
![](http://4.bp.blogspot.com/-a5ilQqvsi_0/VmLInoeypfI/AAAAAAAIKVI/agFaw1YkwYw/s640/03.jpg)
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SHREHE ZA MAULID ZANZIBAR
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-e2zNK3v3cXQ/VknOMuP_giI/AAAAAAADCdw/jaB8WanS1XU/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI WA MKOA WA DODOMA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-e2zNK3v3cXQ/VknOMuP_giI/AAAAAAADCdw/jaB8WanS1XU/s640/01.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-7jM19yHEs6A/VknORDWQHgI/AAAAAAADCeA/Qd8GAnoFVdU/s640/1.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xzzilRFogH8/VlRTu1Frl0I/AAAAAAAIIMg/2G-qCp8vs5I/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA UONGOZI WA MTANDAO WA WANAWAKE TANZANIA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-xzzilRFogH8/VlRTu1Frl0I/AAAAAAAIIMg/2G-qCp8vs5I/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-EOoX3j99Q6Y/VlRTwAXFUOI/AAAAAAAIIM0/kOSZywQ3CY4/s640/2.jpg)
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Kijijini Msoga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokelewana Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete,wakati alipowasili kwenye msiba wa Dada yake na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, jana kijini Msoga Mkoa wa Pwani. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, aliyekuwa Dada yake na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, kijijini...
9 years ago
Michuzi14 Nov
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi ufunguzi michezo ya shimmuta Arusha
![](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Samia-Suluhu-Hassan.jpg)
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
Na Woinde Shizza,Arusha
Michuano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA), yanatarajia kuanza kutimua vumbi wiki ijayo jijini Arusha kwa kushirikisha Mikoa Yote Tanzania.
Katibu mkuu wa SHIMMUTA Award Safari alisema kuwa hadi sasa tayari mikoa kadhaa imethibitisha ushiriki wao ikiwemo wenyeji wa mashindano hayo Mkoa wa Arusha na Mikoa mingine ni Dar es salaam, Dodoma, Morogoro, Mbeya na Tanga. ...