Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwanini Mwanza wanafumbia macho uchafuzi wa mazingira?

“SIKIO la kufa halisikii dawa.” Huu ni usemi wa wahenga ambao hutumika mtu anapozungumzia matatizo kwa mhusika, lakini mshauriwa anapuuzia. Kwa sasa, Mkoa wa Mwanza unatajwa na serikali kwamba asilimia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Uchafuzi mazingira Mwanza na danadana za kuchukua hatua

LICHA ya kuwepo kwa sera na sheria zinazozuia uchafuzi wa mazingira nchini, hali hii inaonekana kuibua mapya katika uongozi wa Jiji la Mwanza. Ingawa wapo baadhi ya watu wanaodaiwa kutiririsha...

 

9 years ago

StarTV

Uchafuzi Wa Mazingira Mwanza Hatua kali kuchukuliwa kwa wahusika

Kamati ya usafi wa mazingira ya Pasiansi Mashariki imeitaka halmashauri ya jiji la Mwanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wale wote wanaohusika kuchafua mazingira na kuhatarisha maisha ya watu.

Ni kutokana na kuwepo kwa baadhi ya watu ambao wanadaiwa kutiririsha maji taka na vinyesi katika mitaro inayotiririshamaji kuelekea katika Ziwa Viktoria.

Haya yanajiri katika ziara ya kushtukiza iliyofanywa na diwani wa kata ya Kawekamo wilayani Ilemela jijini Mwanza Japhesi Joel pamoja na kamati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchafuzi wa mazingira waathiri Ziwa Victoria

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida upatikanaji wa samaki katika Ziwa Victoria umeshuka kutoka tani 750,000 hadi kufikia wastani wa tani 180,000. Hii inatokana na uchafuzi mkubwa wa mazingira. Uchafuzi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Chanzo cha uchafuzi wa mazingira Kahama chaelezwa

ONGEZEKO la watu pamoja na mwingiliano wa biashara katika Mji wa Kahama kumeelezwa kuwa chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira.

 

11 years ago

Michuzi

kilio cha mdau juu ya hali ya uchafuzi wa Mazingira

Naomba kutoa pendekezo kwa Wizara husika,Wakuu wa mikoa ,Wakuu wa wilaya , Mameya na Halimashauri husika juu ya uchafu unaozidi kukidhili kila siku kwa baadhi ya maeneo ya miji mikuu na karibu na mahoteli yanayolisha wasafiri kuelekea mikoani, nadhani na wao pia watakuwa mashaidi juu ya mifuko ya plastic inayozagaa ovyo barabarani, na mitaro ya maji iliyojaa mifuko na maji machafu, na mchanga iliyoachwa baada ya kuziburiwa katika mitaro,
Ombi langu kwa 
Serikali itoe ajira kwa vijana wasio na...

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya wagonjwa 300 kufanyiwa upasuaji wa macho Mwanza

Zaidi ya wagonjwa 300 wenye matatizo ya macho mkoani Mwanza wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa macho kati ya wagonjwa elfu tano watakaopatiwa matibabu na Taasisi ya Bilali Muslim misheni ya nchini Tanzania.

Matibabu hayo yanayotolewa na jopo la madaktari bingwa wa huduma za upasuaji wa magonjwa ya macho ni ishara tosha kuwa ni mkombozi wa utatuzi wa magonjwa hayo ambayo imekuwa ni changamoto kubwa miongoni mwa jamii kutokana na kuwa na gharama kubwa.

mkazi wa Mkuyuni jijini Mwanza mwenye...

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI LEO NDANI YA VILLA PARK MWANZA, MFALME MZEE YUSSUF NA MALKIA ISHA MASHAUZI WATATOANA MACHO

Hatimaye siku imewadia, tarehe iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa taarab wa jiji la Mwanza ndio hii hapa - ni Mzee Yussuf na Isha Mashauzi katika onyesho la kukata na shoka ndani ya Villa Park leo usiku.Ni onyesho linalokutanisha miamba miwili ya taarab ambapo licha ya kuchukuliwa kama mtu na mwanae lakini upinzani mkubwa unatarajiwa kutawala katika onyesho hilo lililopewa jina la usiku wa baba na mwana.

Wasanii wote wawili (Isha na Mzee) wameahidi kumimina uhondo wa aina...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi TBL washiriki usafi wa mazingira Dar, Arusha na Mwanza

usafi TBL 2

Wafanyakazi wa kiwanda Bia tawi la Arusha wakifanya usafi eneo la kituo kikuu cha mabasi jijini Arusha  kuitikia wito wa Rais Dk John Magufuli kufanya usafi wakati wa maadhimisho ya ya Uhuru wa Tanganyika.

usafi tlb 1

usafi 1

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Bia Tanzania wakishiriki zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya Mchikichini Ilala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Uhuru ambapo kwa mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Magufuli ameitangaza kuwa siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani