Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zaidi ya wagonjwa 300 kufanyiwa upasuaji wa macho Mwanza

Zaidi ya wagonjwa 300 wenye matatizo ya macho mkoani Mwanza wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa macho kati ya wagonjwa elfu tano watakaopatiwa matibabu na Taasisi ya Bilali Muslim misheni ya nchini Tanzania.

Matibabu hayo yanayotolewa na jopo la madaktari bingwa wa huduma za upasuaji wa magonjwa ya macho ni ishara tosha kuwa ni mkombozi wa utatuzi wa magonjwa hayo ambayo imekuwa ni changamoto kubwa miongoni mwa jamii kutokana na kuwa na gharama kubwa.

mkazi wa Mkuyuni jijini Mwanza mwenye...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

wagonjwa wa vikope kufanyiwa upasuaji

Na. Catherine Sungura, MOHSW-Arusha
Zaidi ya wagonjwa elfu arobaini wanaougua ugonjwa wa vikope unaotokana na trakoma wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa macho katika mikoa sita nchini Tanzania kwa muda wa miaka mitano.
Hayo yamezungumzwa jana jijini hapa na Mratibu wa Mpango wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele dkt. Upendo Mwingira wakati akiwasilisha mada kwenye mkutano wa nne wa kazi kati ya wizara na wadau wanaofadhili mpango huo Upasuaji huo unafadhiliwa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mzizima Lions Club kuhudumia wagonjwa wa macho zaidi ya 150 mkoani SINGIDA

DSC01108

Mratibu wa Mzizima Lions Club ya jijini Dar-es-salaam, Mustafa Kudrati, akifafanua jambo kwa waandishi wa hababari (hawapo kwenye picha) juu ya kampeni yao ya upimaji,tiba na upasuaji wa macho kwenye kampeni yao ya siku mbili mkoani hapa, inayotarajiwa kunufaisha wakazi zaidi ya 150. Kwa mujibu wa Kudrati,kampeni hiyo inayodhaminiwa na shirika la ndege la Ethiopia na kampuni ya  bima ya AAR, itagharimu zaidi ya shilingi 20 milioni.

DSC01105

Daktari bingwa wa macho mkoani Singida, Dk.Ng’hungu...

 

9 years ago

GPL

MAWAKALA ZAIDI YA 300 MWANZA WAWEZESHWA KUPATA MIKOPO

Afisa Masoko wa Airtel kanda ya ziwa akiongea na mawakali mara baada ya kuendesha semina inayowapatia fursa Mawakala wa Airtel Money nchi nzima kupata mikopo kupitia simu zao za mkononi. Wakala wa Airtel Money katika maeneo ya Metro Mwanza, Bwana John Hainga akichangia mada wakati wa semina ya mawakala inayowapatia fursa ya kupata mikopo isiyo na dhamana ijulikanayo kama Timiza Mikopo kwa Mawakala Kampuni ya simu za mkononi...

 

10 years ago

GPL

CAITLYN KUFANYIWA UPASUAJI WA SAUTI

Baba wa Kim Kardashian ambaye kwa sasa amebadili jinsi yake na kuwa mwanamke,  ‘Caitlyn Jenner’. New York, Marekani
BABA wa Kim Kardashian ‘Caitlyn Jenner’ ambaye kwa sasa amebadili jinsi yake na kuwa mwanamke anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa sauti ili awe mwanamke aliyekamilika. Akizungumza na mtandao unaodili na habari za mastaa, Caitlyn alisema kuwa alifanyiwa upasuaji wa kila kitu na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Luke Shaw kufanyiwa upasuaji

Mlinzi wa kushoto wa Man United Luke Shaw atafanyiwa upasuaji wa pili leo

 

9 years ago

BBCSwahili

Nyota wa Leicester Vardy kufanyiwa upasuaji

Mshambuliaji nyota wa Leicester City Jamie Vardy hataweza kucheza kwa wiki mbili baada yake kufanyiwa upasuaji mdogo.

 

9 years ago

Bongo5

Mshambuliaji wa Leicester Vardy kufanyiwa upasuaji

151231124304_mahrez_vardy_640x360_pa

Mshambuliaji wa klabu ya Leicester City Jamie Vardy atakuwa nnje ya wa uwanja kwa wiki mbili baada ya kufanyiwa upasuaji.

2FBE056100000578-0-image-a-7_1451852909151

Mchezaji huyo wa timu ya taifa Uingereza amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye mtoki wake, kituo cha redio cha BBC cha Leicester kimeripoti.

Vardy amekuwa na msimu mzuri sana hadi saivi ana mabao 15 aliyoyafunga Ligi ya Premia yamesaidia Bweha hao kupanda hadi nambari mbili ligini.

Mchezaji huyo wa umri wa miaka 28 amechezea klabu hiyo mechi 24 msimu huu.

Vardy alicheza...

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto ahitaji mil.13/- kufanyiwa upasuaji

MTOTO Riziki Massawe (13) wa kijiji cha Mkalama wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anahitaji msaada wa Sh milioni 12.5 kwa ajili ya matibabu na upasuaji mkubwa wa moyo wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani