Mshambuliaji wa Leicester Vardy kufanyiwa upasuaji
Mshambuliaji wa klabu ya Leicester City Jamie Vardy atakuwa nnje ya wa uwanja kwa wiki mbili baada ya kufanyiwa upasuaji.
Mchezaji huyo wa timu ya taifa Uingereza amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye mtoki wake, kituo cha redio cha BBC cha Leicester kimeripoti.
Vardy amekuwa na msimu mzuri sana hadi saivi ana mabao 15 aliyoyafunga Ligi ya Premia yamesaidia Bweha hao kupanda hadi nambari mbili ligini.
Mchezaji huyo wa umri wa miaka 28 amechezea klabu hiyo mechi 24 msimu huu.
Vardy alicheza...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
Nyota wa Leicester Vardy kufanyiwa upasuaji
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Vardy aiweka Leicester matatani
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Leicester City kumkosa Vardy wiki mbili
LONDON, ENGLAND
MSHAMBULIAJI nyota wa klabu ya Leicester City, Jamie Vardy, atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili kutokana na kufanyiwa upasuaji.
Mchezaji huyo wa nchini England, amefanyiwa upasuaji mdogo wa mtoki, hivyo utamfanya apumzike kwa wiki mbili.
Vardy amekuwa na makali msimu huu kutokana na kuongoza katika upachikaji mabao ambapo hadi sasa ana mabao 15 aliyoyafunga kwenye michuano ya Ligi Kuu na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi.
Kocha wa timu ya...
5 years ago
FOX Sports Asia10 Mar
Leicester City 4-0 Aston Villa: Jamie Vardy back with a brace in thumping win
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_3HwQT2HIrI/VXheEWRuqKI/AAAAAAAHegs/vTzXBXSOViY/s72-c/20150610084807.jpg)
wagonjwa wa vikope kufanyiwa upasuaji
Zaidi ya wagonjwa elfu arobaini wanaougua ugonjwa wa vikope unaotokana na trakoma wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa macho katika mikoa sita nchini Tanzania kwa muda wa miaka mitano.
Hayo yamezungumzwa jana jijini hapa na Mratibu wa Mpango wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele dkt. Upendo Mwingira wakati akiwasilisha mada kwenye mkutano wa nne wa kazi kati ya wizara na wadau wanaofadhili mpango huo Upasuaji huo unafadhiliwa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/K4UzZoI6JDy3gRh66E3byQyaSDtb7WxyLJiIwvA7r2OVXRuVcq*tNVp3Ts6-ShyvpiFsD3gqKCer6OolGFlff5Ifg8CEWTXk/3dce9b301f3b11e5b4dc8142f4aab823_CaitlynJenner.jpg?width=650)
CAITLYN KUFANYIWA UPASUAJI WA SAUTI
9 years ago
BBCSwahili18 Sep
Luke Shaw kufanyiwa upasuaji
10 years ago
Habarileo05 Jan
Mtoto ahitaji mil.13/- kufanyiwa upasuaji
MTOTO Riziki Massawe (13) wa kijiji cha Mkalama wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anahitaji msaada wa Sh milioni 12.5 kwa ajili ya matibabu na upasuaji mkubwa wa moyo wake.