Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CAITLYN KUFANYIWA UPASUAJI WA SAUTI

Baba wa Kim Kardashian ambaye kwa sasa amebadili jinsi yake na kuwa mwanamke,  ‘Caitlyn Jenner’. New York, Marekani
BABA wa Kim Kardashian ‘Caitlyn Jenner’ ambaye kwa sasa amebadili jinsi yake na kuwa mwanamke anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa sauti ili awe mwanamke aliyekamilika. Akizungumza na mtandao unaodili na habari za mastaa, Caitlyn alisema kuwa alifanyiwa upasuaji wa kila kitu na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Luke Shaw kufanyiwa upasuaji

Mlinzi wa kushoto wa Man United Luke Shaw atafanyiwa upasuaji wa pili leo

 

10 years ago

Michuzi

wagonjwa wa vikope kufanyiwa upasuaji

Na. Catherine Sungura, MOHSW-Arusha
Zaidi ya wagonjwa elfu arobaini wanaougua ugonjwa wa vikope unaotokana na trakoma wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa macho katika mikoa sita nchini Tanzania kwa muda wa miaka mitano.
Hayo yamezungumzwa jana jijini hapa na Mratibu wa Mpango wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele dkt. Upendo Mwingira wakati akiwasilisha mada kwenye mkutano wa nne wa kazi kati ya wizara na wadau wanaofadhili mpango huo Upasuaji huo unafadhiliwa na...

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto ahitaji mil.13/- kufanyiwa upasuaji

MTOTO Riziki Massawe (13) wa kijiji cha Mkalama wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anahitaji msaada wa Sh milioni 12.5 kwa ajili ya matibabu na upasuaji mkubwa wa moyo wake.

 

9 years ago

BBCSwahili

Nyota wa Leicester Vardy kufanyiwa upasuaji

Mshambuliaji nyota wa Leicester City Jamie Vardy hataweza kucheza kwa wiki mbili baada yake kufanyiwa upasuaji mdogo.

 

9 years ago

Bongo5

Mshambuliaji wa Leicester Vardy kufanyiwa upasuaji

151231124304_mahrez_vardy_640x360_pa

Mshambuliaji wa klabu ya Leicester City Jamie Vardy atakuwa nnje ya wa uwanja kwa wiki mbili baada ya kufanyiwa upasuaji.

2FBE056100000578-0-image-a-7_1451852909151

Mchezaji huyo wa timu ya taifa Uingereza amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye mtoki wake, kituo cha redio cha BBC cha Leicester kimeripoti.

Vardy amekuwa na msimu mzuri sana hadi saivi ana mabao 15 aliyoyafunga Ligi ya Premia yamesaidia Bweha hao kupanda hadi nambari mbili ligini.

Mchezaji huyo wa umri wa miaka 28 amechezea klabu hiyo mechi 24 msimu huu.

Vardy alicheza...

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya wagonjwa 300 kufanyiwa upasuaji wa macho Mwanza

Zaidi ya wagonjwa 300 wenye matatizo ya macho mkoani Mwanza wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa macho kati ya wagonjwa elfu tano watakaopatiwa matibabu na Taasisi ya Bilali Muslim misheni ya nchini Tanzania.

Matibabu hayo yanayotolewa na jopo la madaktari bingwa wa huduma za upasuaji wa magonjwa ya macho ni ishara tosha kuwa ni mkombozi wa utatuzi wa magonjwa hayo ambayo imekuwa ni changamoto kubwa miongoni mwa jamii kutokana na kuwa na gharama kubwa.

mkazi wa Mkuyuni jijini Mwanza mwenye...

 

5 years ago

BBCSwahili

Bingwa wa Tenisi Federer kufanyiwa upasuaji kwenye goti lake N

Roger Federer atakosa msimu wote wa 2020 baada ya kufanyiwa operesheni zaidi juu ya goti lake la kulia.

 

9 years ago

Michuzi

MSAADA MKUBWA UNAHITAJIKA KWA DADA ELIZA ILI AWEZE KUFANYIWA UPASUAJI WA UVIMBE TUMBONI

Eliza Juma (30), mkazi wa Mtaa wa Mbwanga Manispaa ya Dodoma anaomba msaada wa hali na mali kutoka kwa yeyote ataeguswa ili aweze kufanyiwa upasuaji wa uvimbe tumboni ambao umekuwa ukiongezeka kila siku.
Akizunguma na waandishi wa habari mjini hapa Dodoma, alisema kuwa uvimbe huo ambao umekuwa ukiongezeka kila siku umekuwa kikwazo kwake katika kutekeleza majukumu yake ya kujipatia kipato.
Alisema kuwa uvumbe huo unaotokana na yeye kufanyiwa upasuaji wa utumbo aliofanyiwa miaka miwili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani