Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KITUO KIKUU CHA MABASI CHA DODOMA KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI, MKURUGENZI WA JIJI AFUNGUKA

Charles James, Michuzi TV

JIJI la Dodoma limesema ifikapo Juni 30 mwaka huu ndio itakua mwisho kwa Mabasi makubwa ya abiria kupaki nje ya Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi katika mkutano wake na wandishi wa habari wakati alipotembelea Ujenzi wa Kituo hicho kinachojengwa katika eneo la Nzuguni.

Kunambi amesema ujenzi wa Kituo hiko ambacho kitakua kikubwa kuliko vyote kwa ukanda wa Afrika Mashariki tayari umekamilika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo

Salam kwako Ankal na timu nzima ya Globu ya Jamii,
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na  utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...

 

9 years ago

Michuzi

Kituo cha kisasa cha michezo kwa vijana cha JMK cha Kidongo Chekundu kuzinduliwa Oktoba 19, 2015

 Sehemu ya viwanja vya mpira wa kikapu katika kituo cha kisasa kabisa cha Michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam  vimekamilika, saambmba na viwanja vya soka na michezo mingine. Kituo hiki cha Vijana cha Michezo mbalimbali kinachodhaminiwa na Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza cha Sunderland kwa kushirikiana na kampuni ya umeme ya Symbion Power kinatarjiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 19 Oktoba mwaka huu. 

 

11 years ago

Habarileo

Ukata wakwamisha ujenzi kituo kikuu cha mabasi Dar

UKATA wa fedha unadaiwa kukwamisha ujenzi wa kituo kikuu kipya cha mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi, katika eneo la Mbezi Louis wilayani Kinondoni. Kutokana na ukata huo, Kituo Kikuu cha Mabasi cha Ubungo (UBT) kimeendelea kutoa huduma eneo la Ubungo, licha ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuamuriwa mwaka jana, ihakikishe kinahamia ama Mbezi Louis au Boko Wasa.

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuzinduliwa kesho jijini Dar

 Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM),Balozi Juma Mwapachu (kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) juu ya Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko maalum wa Chuo Kikuu cha Dodoma,unatarajia kuzinduliwa rasmi kesho Novemba 8,2014 kwenye hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam,ambapo Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi huo anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu tatu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Mh. Benjamin W. Mkapa.Dhumuni la Mfuko huo ni kuweza kukisaidia Chuo...

 

11 years ago

Habarileo

Kituo cha mabasi Dodoma kuwa nje ya mji

WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli ameagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kuhamishia kituo kikuu cha mabasi cha Dodoma nje ya mji, ili kudhibiti msongamano wa magari unaochangiwa na kukua kwa haraka kwa mji.

 

10 years ago

Mwananchi

Gharama Kituo cha Mabasi cha Kange kufanyiwa uchunguzi

>Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah amesema uchunguzi wa gharama zilizotumika kujenga kituo kipya cha mabasi cha Kange jijini Tanga, utakamilika kwa siku 14 kuanzia sasa.

 

10 years ago

GPL

KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO

Maji yakiwa yamejaa katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani, Ubungo. Kufuatia mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, maeneo…

 

10 years ago

Vijimambo

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa lateketea kwa moto

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla,chanzo kilichepekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo.Washuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.CHANZO MICHUZI BLOG

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani