Kituo cha mabasi Dodoma kuwa nje ya mji
WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli ameagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kuhamishia kituo kikuu cha mabasi cha Dodoma nje ya mji, ili kudhibiti msongamano wa magari unaochangiwa na kukua kwa haraka kwa mji.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0qL8nwof18A/XsTisfJnQeI/AAAAAAALq5I/CiHAhH1W0yQKQVE0gHGuIKWKd4WZ6UEAgCLcBGAsYHQ/s72-c/06dfe0c0-1a6c-49d4-a23d-654a7710382c.jpg)
KITUO KIKUU CHA MABASI CHA DODOMA KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI, MKURUGENZI WA JIJI AFUNGUKA
JIJI la Dodoma limesema ifikapo Juni 30 mwaka huu ndio itakua mwisho kwa Mabasi makubwa ya abiria kupaki nje ya Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi katika mkutano wake na wandishi wa habari wakati alipotembelea Ujenzi wa Kituo hicho kinachojengwa katika eneo la Nzuguni.
Kunambi amesema ujenzi wa Kituo hiko ambacho kitakua kikubwa kuliko vyote kwa ukanda wa Afrika Mashariki tayari umekamilika...
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Baada ya mabasi kuzuiwa kituo cha Mwenge wafanyabiashara wadogo wapanga kuandamana kupinga kuweka meza zao za biashara ndani ya kituo
Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita Mwenge Bila kusimama.
Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote.
Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi Beach kikiwa Kitupu Muda huu.
Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja.
Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge.
Eneo ambalo Daladala zilikuwa nyingi sasa hakuna tena mabasi hayo.
Bajaji zikiendelea na Kazi.
Upande wa Mwenge kwenda Morocco Pia hakuna mabasi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bGrr85Jb5oQ/U_FCwnJNDVI/AAAAAAAGAVo/b5FrIwr9A6g/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
MKUU WA MKOA DODOMA DR REHEMA NCHIMBI AMEFUNGUA JENGO LA HUDUMA KWA WAGONJWA WA NJE (O.P.D) KWENYE KITUO CHA AFYA LUMUMA MPWAPWA LENYE THAMANI YA MIL.350
![](http://3.bp.blogspot.com/-bGrr85Jb5oQ/U_FCwnJNDVI/AAAAAAAGAVo/b5FrIwr9A6g/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-G11Ea-hyKfM/U_FCxNjGGaI/AAAAAAAGAVg/i8tWc1pJ1QA/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
10 years ago
Mwananchi10 Apr
Gharama Kituo cha Mabasi cha Kange kufanyiwa uchunguzi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiKviiitYxKsXOKyvoO6xWIQn-IxMdSestBvRQU7LuJRl15xmFBVaDSj0FudrqXzqGquEynFZHWRHxlgtFosRWeE/IMG20150512WA0002.jpg)
KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO
10 years ago
MichuziKilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...
10 years ago
Mtanzania03 Mar
Kituo cha mabasi Ubungo ‘kinavyotafunwa’
Katika gazeti hili toleo la jana, tuliaandika namna mapato yanayopatikana katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo, (UBT) kilichopo jijini Dar es Salaam, yanavyokusanywa na kuishia mikononi mwa watu wachache huku miundombinu yake ikizidi kudorora.
Watoto walala juu ya miti
Gazeti hili lilibaini kuwapo kundi kubwa la watoto kutoka mikoa mbalimbali wamejenga makazi yao ya kudumu katika eneo hilo na kuwa sehemu ya maisha yao.
Jua linapozama watoto hao wenye umri kati ya miaka 7 hadi...
11 years ago
GPLBOMOABOMOA KITUO CHA MABASI MWENGE
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Kituo cha mabasi chalipuliwa Nigeria