Baada ya mabasi kuzuiwa kituo cha Mwenge wafanyabiashara wadogo wapanga kuandamana kupinga kuweka meza zao za biashara ndani ya kituo
Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita Mwenge Bila kusimama.
Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote.
Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi Beach kikiwa Kitupu Muda huu.
Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja.
Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge.
Eneo ambalo Daladala zilikuwa nyingi sasa hakuna tena mabasi hayo.
Bajaji zikiendelea na Kazi.
Upande wa Mwenge kwenda Morocco Pia hakuna mabasi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMgomo baridi wa usafiri BAADA YA DALADALA DAR ES SALAAM KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE NA KUTUMIA CHA MAKUMBUSHO
11 years ago
GPLBOMOABOMOA KITUO CHA MABASI MWENGE
11 years ago
CloudsFM29 May
KITUO CHA MABASI MWENGE KUHAMISHIWA MAKUMBUSHO
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (SUMATRA) wamegiza kuwa kuanzia Juni 2, 2014, kituo cha Mwenge kitafungwa na daladala zote zinazotumia kituo hicho zitahamia kituo cha Makumbusho.
Daladala zote zinazoishia Mwenge zitakuwa zinashusha abiria kituo cha Makumbusho. Na daladala zinazokwenda maeneo mbalimbali kupitia Mwenge hazitoruhusiwa kusimama kituoni hapo na kushusha au kupandisha abiria. Zote zitapaswa kufika kituo cha Makumbusho.
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Kigoda: Wafanyabiashara tumieni kituo cha biashara mnufaike
YAPO mambo ambayo ni lazima kufanyika kama kweli muhusika anataka kupata mafanikio…na haya hayajalishi muhusika anafanya nini au yuko wapi. Moja ya mambo hayo ni kujifunza mbinu mpya na maarifa...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Wafanyabiashara Mwenge walia kituo kuhama
WAFANYABIASHARA wa eneo la Kituo cha Daladala Mwenge, Dar es Salaam, wameilalamikia serikali kwa kuhamisha kituo hicho na kukipeleka Makumbusho kwa kuwa sasa biashara zao zimedorora. Wakizungumza na Tanzania Daima...
11 years ago
Habarileo30 May
Kituo cha daladala Mwenge kufungwa
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kufunga kituo cha daladala cha Mwenge, Jumapili, Juni Mosi mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi30 May
Sumatra yafunga kituo cha daladala Mwenge D’Salaam
11 years ago
GPL03 Jun
WANANCHI WATATIZWA NA KITUO CHA MWENGE KUHAMISHIWA MAKUMBUSHO
9 years ago
Dewji Blog19 Sep
Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19
Kituo cha Mazoezi cha Home Gym…
Na Andrew Chale, modewjiblog
[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.
Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...