Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kituo cha daladala Mwenge kufungwa

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kufunga kituo cha daladala cha Mwenge, Jumapili, Juni Mosi mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

KITUO CHA DALADALA MWENGE KUFUNGWA RASMI JUMAPILI HII

Wamiliki, madereva na abiria wote mnatangaziwa kuwa kituo cha daladala Mwenge kitafungwa rasmi siku ya Jumapili jioni tarehe 01.06.2014. Kuanzia siku ya jumatatu asubuhi tarehe 02.06.2014 kituo kitakachokuwa kinatumika ni Makumbusho tu.
Sababu kubwa ya kufunga kituo hicho ni ufinyu wa eneo hilo jambo linalochangia dadalada kushindwa kuingia kituoni kwa wakati hasa vipindi vya asubuhi na jioni hivyo kusababaisha foleni kubwa katika eneo la Mwenge.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa eneo hilo...

 

11 years ago

Mwananchi

Sumatra yafunga kituo cha daladala Mwenge D’Salaam

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kuhamisha kituo maarufu cha daladala cha Mwenge kwenda eneo la Makumbusho.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kituo cha daladala Mwenge pamoja na vibanda vya pembeni vyabomolewa

1

Hivi ndivyo kituo cha Daladala cha Mwenge kilivyo bomolewa asubuhi ya leo.

3

 Hiki kilikuwa Choo cha kulipia kilichokuwa Mwenge nacho kikiwa kimebomolewa.

unnamed

Ulinzi ukiwa umeimarishwa.

unnamed (1)

Kazi ya Kubomoa na kuondoa vibanda ikiwa inaendelea Mwenge.

unnamed (2)

 Askari wa FFU akiwa anazuia watu wasipite eneo ambalo kulikuwa na kazi ya Bomoa bomoa ikiendelea.

unnamed (3)

Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ubomoaji ukiendelea.

unnamed (4)

Hili lilikuwa eneo la kupumzikia zamani la Abiria kungoja usafiri nacho kikiwa kimebomolewa.

unnamed (5)

 

11 years ago

Michuzi

Mgomo baridi wa usafiri BAADA YA DALADALA DAR ES SALAAM KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE NA KUTUMIA CHA MAKUMBUSHO

  Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita kituo cha Mwenge jijini Dar es salaam bila kusimama, ikiwa ni siku ya kwanza wasafirishaji hao kuamriwa kutumia kituo cha Makumbusho ambacho inaelekea hawaafiki.  Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote  Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi kikiwa Kitupu Muda huu  Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja  Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge  Eneo ambalo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Baada ya mabasi kuzuiwa kituo cha Mwenge wafanyabiashara wadogo wapanga kuandamana kupinga kuweka meza zao za biashara ndani ya kituo

unnamed

Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita Mwenge Bila kusimama.

unnamed (1)

 Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote.

unnamed (2)

 Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi Beach kikiwa Kitupu Muda huu.

unnamed (3)

Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja.

unnamed (4)

Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge.

unnamed (5)

Eneo ambalo Daladala zilikuwa nyingi sasa hakuna tena mabasi hayo.

unnamed (6)

unnamed (7)

 Bajaji zikiendelea na Kazi.

unnamed (8)

 Upande wa Mwenge kwenda Morocco Pia hakuna mabasi...

 

11 years ago

Michuzi

kituo cha daladala cha marikiti zanzibar chahamia michenzani na mnazi mmoja

 Hapa Marikiti mjini Zanzibar ndipo kilipokuwepo kituo cha daladala mjini Unguja, Hivi sasa kimeshahamishwa na kuachwa kweupe na raha mustarehe kwa wakazi wa visiwani  Raha mustarehe kwa wana Unguja  Zogo sasa limehamia Michenzani karibu na afisi kuu za CCM za Kisiwandui ambako daladala zote husimama kwa sasa. Hakika kuna haja kubwa ya kuliangalia swala hili..Maana hapa pahala pafinyu mno!

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KINONDONI MNALIONA HILI; KITUO CHA DALADALA CHA BIAFRA CHAGEUZWA DAMPO

Uchafu ukiwa nyuma ya kituo cha Biafra na ukitizama picha vizuri kuna abiria amekaa lakini cha kusikitisha nyuma yake kuna uchafu ambao unatoa harufu mbaya na pia kuna wafanya biashara katika eneo hili. Sehemu hii imekuwa kero kwa abiria wanaoshuka na hata wanaopanda magari kwenye hiki kituo cha Biafra kilchopo Kinondoni kwani kuna uchafu mwingi unaotupwa na wakazi wa eneo hilo mpaka kituo hiki kubadilishwa na kuwa dampo.  Hii ndio hali halisi ya kituo cha Biafra kilichopo kwenye wilaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani