VIONGOZI WA KINONDONI MNALIONA HILI; KITUO CHA DALADALA CHA BIAFRA CHAGEUZWA DAMPO

Uchafu ukiwa nyuma ya kituo cha Biafra na ukitizama picha vizuri kuna abiria amekaa lakini cha kusikitisha nyuma yake kuna uchafu ambao unatoa harufu mbaya na pia kuna wafanya biashara katika eneo hili. Sehemu hii imekuwa kero kwa abiria wanaoshuka na hata wanaopanda magari kwenye hiki kituo cha Biafra kilchopo Kinondoni kwani kuna uchafu mwingi unaotupwa na wakazi wa eneo hilo mpaka kituo hiki kubadilishwa na kuwa dampo.
Hii ndio hali halisi ya kituo cha Biafra kilichopo kwenye wilaya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi13 Dec
MANISPAA YA KINONDONI YAZINDUA HUDUMA YA BURE YA INTERNETI KWENYE KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA SINZA

Akizindua huduma hiyo, jana, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda alisema, mtandao wa WiFi umeunganishwa kwenye kituo hicho kupitia mkongo wa mawasiliano kupitia Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Mwenda alisema, mtandao huo utakuwepo usiku na...
10 years ago
Vijimambo13 Dec
MANISPAA YA KINONDONI YAZINDUA HUDUMA YA BURE YA INTERNETI KWENYE KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA SIMU2000

Akizindua huduma hiyo, jana, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda alisema, mtandao wa WiFi umeunganishwa kwenye kituo hicho kupitia mkongo wa mawasiliano kupitia Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Mwenda alisema, mtandao huo utakuwepo usiku na...
10 years ago
Michuzi25 Jan
11 years ago
Michuzi
kituo cha daladala cha marikiti zanzibar chahamia michenzani na mnazi mmoja



10 years ago
VijimamboDC WA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL.
11 years ago
Michuzi
WATOTO WALIVYOJITOA KUKIPIGA SOP SOP KITUO CHA DALADALA CHA UBUNGO JIJINI DAR



11 years ago
Michuzi
MAMA DORCAS MEMBE AFUNGUA KITUO CHA KUSAMBAZIA MATREKTA WAKULIMA CHA KARIATI MATRACTOR KILICHOPO KINONDONI JIJINI DAR
Kauli hiyo ameitoa leo jijini Dar es Salaa wakati akizindua kituo hicho ambapo alisema ingawa bei zao zipo chini wapunguze tena ili hata mkulima wa chini aweze kumudu kununua au kukopa trekta hiyo imuwezeshe kuondokana na umasikini.
Akizungumza katika uzinduzi huo alisema...
11 years ago
MichuziMgomo baridi wa usafiri BAADA YA DALADALA DAR ES SALAAM KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE NA KUTUMIA CHA MAKUMBUSHO
11 years ago
Habarileo21 Oct
Kituo cha daladala Ubungo kuzinduliwa
KITUO kipya cha daladala cha Ubungo kilichohamishiwa Kituo cha Simu, kati ya barabara ya Sam Nujoma na Sinza jijini Dar es Salaam, linatarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho kutwa. Hayo yalielezwa katika taarifa ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Ofisa Mfawidhi wake, Conrad Shio.