Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuzinduliwa kesho jijini Dar

 Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM),Balozi Juma Mwapachu (kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) juu ya Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko maalum wa Chuo Kikuu cha Dodoma,unatarajia kuzinduliwa rasmi kesho Novemba 8,2014 kwenye hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam,ambapo Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi huo anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu tatu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Mh. Benjamin W. Mkapa.Dhumuni la Mfuko huo ni kuweza kukisaidia Chuo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Hawa Ghasia azinduwa bodi mpya ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF, jijini Dar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ua wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Dar es Salaam jana.

2

Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa, akizungumza katika hafla hiyo.

Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka akichangia jambo kwenye uzinduzi huo.

Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga akizungumza machache kwenye uzinduzi huo.

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Philip Alfred aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya tano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St, John's cha mjini Dodoma akihuwahutubia wahitimu wa kozi mbalimbali wa chuo hicho. Mkuu wa Skuli za kidini akihutubia jambo kwenye mahafali hayo.Wahitimu wa Shahada ya sayansi...

 

5 years ago

Michuzi

KITUO KIKUU CHA MABASI CHA DODOMA KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI, MKURUGENZI WA JIJI AFUNGUKA

Charles James, Michuzi TV

JIJI la Dodoma limesema ifikapo Juni 30 mwaka huu ndio itakua mwisho kwa Mabasi makubwa ya abiria kupaki nje ya Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi katika mkutano wake na wandishi wa habari wakati alipotembelea Ujenzi wa Kituo hicho kinachojengwa katika eneo la Nzuguni.

Kunambi amesema ujenzi wa Kituo hiko ambacho kitakua kikubwa kuliko vyote kwa ukanda wa Afrika Mashariki tayari umekamilika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Kigoda azindua bodi ya uongozi ya chuo cha CBE leo Jijini Dar

Picha na 1

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda akisalimiana na viongozi na wafanyakazi wa Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam alipowasili chuoni hapo kuzindua Bodi mpya ya uongozi ya Chuo hicho leo.

Na Aron Msigwa –MAELEZO

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda amezindua rasmi Bodi ya Uongozi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) na kuitaka bodi hiyo kufanya kazi zake kwa kuzingatia sheria na kushirikiana na menejimenti ya chuo hicho kuweka mikakati na...

 

10 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu cha St. John’s kuanzisha mfuko wa Ufadhili

CHUO Kikuu cha St. John’s cha mjini hapa kitaanzisha mfuko wa ufadhili wa wanafunzi kwa ajili ya kusaidia sehemu ya gharama kwa wanafunzi wenye sifa wasio na uwezo wa kujilipia ada na wasiopata fedha za Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu.

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA13 YA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBRT KAIRUKI YAFANYIKA LEO JIJINI DAR.

 Makamu Mkuu wa Chuo cha kumbukumbu ya Hubet Kairuki Profesa, Kito Mshigeni akizugumza na wanafunzi  juu ya kutumia elimu waliyoipata  kuwasaidia, kuwainua, na kuwaletea  matumaini  mapya wote wenye uhitaji katika jamii, kwa kadri ya uwezo wao, ameyazungunza hayo katika mahafali ya 13 ya chuo kuu cha kumbukumbu ya Hubert Kairuki Jijini Dar es Salaam.Brass Band ikiendelea kutumbuiza katika mahafali ya 13 ya chuo kikuu cha kumbukumbu cha Hubert Kairuki leo Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) wafanya ziara Bungeni Mjini Dodoma

  VIONGOZI mbalimbali wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) leo wametinga Bungeni katika ziara ya kimafunzo na kupokelewa na Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Dk Fenela Mukangara. Wakiwa Bungeni viongozi hao ambao ni Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Mawaziri na Wabunge walijionea namna shughuli za Bunge zinavyoebndeshwa chini ya Spika Anna Makinda. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Febela Mukangara akipiga nao picha. Vijana hao walifika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani