Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Hawa Ghasia azinduwa bodi mpya ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF, jijini Dar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ua wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Dar es Salaam jana.

2

Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa, akizungumza katika hafla hiyo.

Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka akichangia jambo kwenye uzinduzi huo.

Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga akizungumza machache kwenye uzinduzi huo.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI HAWA GHASIA AZINDUWA BODI MPYA YA WADHAMINI YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF

 Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa (kulia), akimkabidhi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia picha yenye nembo ya mfuko huo kwenye  hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya wadhamini ya mfuko wa LAPF na kuiaga bodi iliyomaliza muda wake iliyofanyika makao makuu ya mfuko huo Dar es Salaam jana.  Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa (kulia),...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuzinduliwa kesho jijini Dar

 Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM),Balozi Juma Mwapachu (kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) juu ya Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko maalum wa Chuo Kikuu cha Dodoma,unatarajia kuzinduliwa rasmi kesho Novemba 8,2014 kwenye hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam,ambapo Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi huo anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu tatu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Mh. Benjamin W. Mkapa.Dhumuni la Mfuko huo ni kuweza kukisaidia Chuo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Hawa Ghasia azindua kongamano la wiki ya utumishi wa umma Jijini Dar

pix 3

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Hawa Ghasia akisoma risala wakati wa ufunguzi wa kongamano la Miaka 50 ya Muungano katika Utumishi wa Umma,katika  ukumbi wa kimataifa wa Mwl. Nyerere  jijini Dar es Salaam, kongamano hilo la siku mbili linaambatana na maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja.

pix 1

Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt. Henry Mambo akiwakaribisha washiriki pamoja na mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Hawa...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MH. SELEMANI JAFO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF DODOMA

 Naibu waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani  Jafo akipata maelezo kutoka kwa kaimu meneja mafao wa LAPF Bw. Amani Sindato akionyeshwa mafaili ya wanachama wanaostaafu mwezi januari 2016 lakini wameshaandaliwa mafao yao. Naibu waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani  Jafo  akionyeshwa orodha ya wanachama wanaotarajia kustaafu miezi sita ijayo na Afisa mafao mwandamizi Bw. Franklin Boga. LAPF huwatambua wanachama hao mapema ili...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF KUFANYA MKUTANO WA 7 WA MWAKA WA WADAU JIJINI ARUSHA OKTOBA 23-24,2014

 Pichani (wa tatu kulia),Meneja Matekelezo Mfuko wa Pensheni wa LAPF,Bwa.Victor Kikoti akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani),mapema leo katika ofisi zao zilizopo jengo la Millenium Tower,Kijitonyama jijini Dar,kuhusiana na kufanyika kwa mkutano wao wa 7 wa mwaka wa wadau kuanzia Oktoba 23 mpaka 24, 2014.
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa mikutano (AICC),jijini Arusha.Bwa.Victor amesema kuwa kauli mbiu ya mkutano huo ni '' kusherehekea miaka 70 ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Hawa Ghasia awataka LAPF wajitangaze

>Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia ameutaka mfuko wa pensheni wa LAPF kutangaza fao la mkopo wa nyumba walitoalo ili wananchi wajiunge na kunufaika.

 

10 years ago

Habarileo

Hawa Ghasia afagilia fao la elimu la LAPF

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, amesema fao la mkopo wa elimu linalotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF, ni msaada mkubwa kwa waajiri nchini ikiwemo Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani