Waziri Hawa Ghasia azindua kongamano la wiki ya utumishi wa umma Jijini Dar
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Hawa Ghasia akisoma risala wakati wa ufunguzi wa kongamano la Miaka 50 ya Muungano katika Utumishi wa Umma,katika ukumbi wa kimataifa wa Mwl. Nyerere jijini Dar es Salaam, kongamano hilo la siku mbili linaambatana na maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt. Henry Mambo akiwakaribisha washiriki pamoja na mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Hawa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKIFUNGUA KONGAMANO LA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA LEO JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog18 Aug
Waziri Hawa Ghasia azindua mafunzo ya madereva wa mabasi ya mwendo kasi Dar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo Dar es Salaam jana asubuhi. Kulia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akijaribu kuendesha moja ya...
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR
Afisa wa wa Mamlaka ya Usajili wa Vizazi , Udhamini na Ufilisi RITA,Joseph Mwakatobe akizungumza na Michuzi TV juu ya huduma wanazozitoa katika huduma ya Wosia katika kuondoa migogoro ya miradhi wakiwa katika maonyesho Wiki ya Utumishi inayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wakili wa Serikali,Msajili wa Mkuu wa Talaka wa Mamlaka ya Usajili wa Vizazi , Udhamini na Ufilisi (RITA),Edna Msuya akitoa maelekezo kwa wananchi waliofika katika maonyesho ya Wiki...
11 years ago
MichuziMaadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaanza leo jijini Dar
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Waziri Hawa Ghasia azinduwa bodi mpya ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF, jijini Dar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ua wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa, akizungumza katika hafla hiyo.
Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka akichangia jambo kwenye uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga akizungumza machache kwenye uzinduzi huo.
10 years ago
MichuziMAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2015 YAENDELEA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziKONGAMANO LA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA LAFUNGULIWA RASMI LEO
10 years ago
Michuzi10 years ago
GPLMAMIA WAFURIKA BANDA LA NHIF, KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR