Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaanza leo jijini Dar

Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam. Watumishi kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wakipita mbele ya meza Kuu wakati wa Maandamano Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyoanza leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam. Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Hab Mkwizu akizungumza wakati akimkaribisha Mgeni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKIFUNGUA KONGAMANO LA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA LEO JIJINI DAR

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue  akifungua kongamano la  Wiki ya Utumishi wa Umma lililofanyika leo  kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue  (kushoto) akipeana mkono leo  na   Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu  Balozi Dkt. Matern Lumbanga(katikati)   mara  baada   kufungua kongamano la  Wiki ya Utumishi wa Umma lililofanyika  leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni...

 

10 years ago

Vijimambo

BOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akiwa ndani ya banda la MSD.
Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo yaliyoyoanza leo na kufikia tamati baada ya wiki mojaOfisa Uhusiano Mkuu wa MSD, Etty Kusiluka (kulia), akimuelekeza jambo Mwanahabari aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo. Katikati ni Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema.
Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR

 
Afisa wa wa Mamlaka ya Usajili wa Vizazi , Udhamini na Ufilisi  RITA,Joseph Mwakatobe  akizungumza na Michuzi TV juu ya huduma wanazozitoa katika huduma  ya Wosia katika kuondoa migogoro ya miradhi  wakiwa katika maonyesho Wiki ya Utumishi inayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 Wakili wa Serikali,Msajili wa Mkuu wa Talaka wa Mamlaka ya Usajili wa Vizazi , Udhamini na Ufilisi (RITA),Edna Msuya akitoa maelekezo kwa wananchi waliofika katika maonyesho ya  Wiki...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Hawa Ghasia azindua kongamano la wiki ya utumishi wa umma Jijini Dar

pix 3

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Hawa Ghasia akisoma risala wakati wa ufunguzi wa kongamano la Miaka 50 ya Muungano katika Utumishi wa Umma,katika  ukumbi wa kimataifa wa Mwl. Nyerere  jijini Dar es Salaam, kongamano hilo la siku mbili linaambatana na maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja.

pix 1

Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt. Henry Mambo akiwakaribisha washiriki pamoja na mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Hawa...

 

10 years ago

Michuzi

MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2015 YAENDELEA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Mchumi Idara ya Maendeleo ya Sekta Binafsi, Uwekezaji na Uwezeshaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Octavian Rutta akizungumza na TBC1 kuhusu masuala ya Uwekezaji na Uwezeshaji wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam. Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAFURIKA BANDA LA NHIF, KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Ofisa Uratibu na Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Genoveva Vicent (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF katika maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam jana. Wengine wa pili kushoto ni Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda na Ofisa Mawasiliano wa NHIF, Luhende Singu. Ofisa wa NHIF, Ambrose Manyanda (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi...

 

10 years ago

Vijimambo

BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI LAZIDI KUNG’ARA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM

Afisa Habari Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Rose Mdami (kulia) akitoa maelezo kwa mmoja wa wageni waliotembelea banda la Mamlaka hiyo kuhusu huduma zinazotolewa na Mamlaka hiyo, katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jjijini Dar es Salaam. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mwananchi aliyetembelea Banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akipewa maelezo na Afisa Habari Mkuu wa Mamlaka hiyo, Rose...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya Utumishi wa Umma jijini Dar leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya utumishi wa Umma lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam .
Sehemu ya washiriki wa Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya tume yaUtumishi wa Umma lililofanyika jijini Dar es Salaam leoRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya tume ya Umma lililofanyika jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani