Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MFUKO WA PENSHENI WA LAPF KUFANYA MKUTANO WA 7 WA MWAKA WA WADAU JIJINI ARUSHA OKTOBA 23-24,2014

 Pichani (wa tatu kulia),Meneja Matekelezo Mfuko wa Pensheni wa LAPF,Bwa.Victor Kikoti akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani),mapema leo katika ofisi zao zilizopo jengo la Millenium Tower,Kijitonyama jijini Dar,kuhusiana na kufanyika kwa mkutano wao wa 7 wa mwaka wa wadau kuanzia Oktoba 23 mpaka 24, 2014.
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa mikutano (AICC),jijini Arusha.Bwa.Victor amesema kuwa kauli mbiu ya mkutano huo ni '' kusherehekea miaka 70 ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wamalizika leo jijini Arusha

Mgeni Rasmi katika ufungaji wa Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Jowika Kasunga akitoa hotuba yake ya kufunga Mkutano huo uliomalizima leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.Picha zote na Othman Michuzi.Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Alhaj Ramadhan Khijja azungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufunga Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF waendelea leo jijini Arusha

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akijibu sehemu ya maswali yaliyouliwa na Wanachana na Wadau wa PPF kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.Picha Zote na Othman Michuzi,Arusha.Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii (SSRA),Juma Ally Muhimbi akichangia mada kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF waanza rasmi leo jijini Arusha

Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akitoa hotuba yake wakati akifungua mkutano huo unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo Septemba 10 mpaka Septemba 12,2014.Katika hotuba yake hiyo,Mh. Nchemba wameutaka Mfuko wa PPF kuhakikisha wanapanua wigo kwa kuongeza wanachama wengi kutoka kwenye setka binafsi hasa wananchi wa kipato cha...

 

10 years ago

Michuzi

Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 — 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.

“PIGA KITABU NA LAPF”WANACHAMA WA LAPF KUNUFAIKA NA FAO LA ELIMU
Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 – 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.
15 Septemba 2014, Dodoma: Wanachama wa mfuko wa penseni wa LAPF kunufaika na fao jipya lilozinduliwa hivi karibuni nchini kwa Baraka zake Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia. 
Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa LAPF mikopo ya elimu ya juu kwani ni ombi la...

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho Ya Miaka 70 ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Kuanza Kesho Mjini Arusha

Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Saba wa wadau wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, yamekamilika ambapo mkutano huo utahudhuriwa na wajumbe zaidi ya 700 toka nchini na nje ya nchi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Eliud Sanga, amesema maadalizi yote ya mkutano huo, wenye kauli mbiu ya "Maadhimisho ya Miaka 70 ya Ukuaji na Huduma Bora, LAPF", yamekamilika ambapo utakwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Mfuko...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Hawa Ghasia azinduwa bodi mpya ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF, jijini Dar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ua wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Dar es Salaam jana.

2

Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa, akizungumza katika hafla hiyo.

Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka akichangia jambo kwenye uzinduzi huo.

Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga akizungumza machache kwenye uzinduzi huo.

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA MEI 10 JIJINI ARUSHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha. Benki ya CRDB itafanyaka mkutano wake Mkuu wa Mwaka Mei 10 katika ukumbi wa AICC jijini Arusha. (Na Mpiga Picha Wetu)

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akionyesha kitabu cha taarifa ya mwaka 2013 cha benki ya CRDB katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Arusha. Katikati ni Katibu wa Benki hiyo, John Rugambo na Mkurugenzi wa Fedha, Fredrick Nshekanabo. Benki ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani