Maadhimisho Ya Miaka 70 ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Kuanza Kesho Mjini Arusha
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Saba wa wadau wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, yamekamilika ambapo mkutano huo utahudhuriwa na wajumbe zaidi ya 700 toka nchini na nje ya nchi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Eliud Sanga, amesema maadalizi yote ya mkutano huo, wenye kauli mbiu ya "Maadhimisho ya Miaka 70 ya Ukuaji na Huduma Bora, LAPF", yamekamilika ambapo utakwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Mfuko...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMfuko wa Pensheni wa LAPF WASHIRIKI Maadhimisho ya Wiki ya Serikali za Mitaa Mtwara
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA SERIKALI ZA MITAA MTWARA
Pia wanachama watapata fursa ya kuangalia taarifa za michango yao, kujiunga LAPF na kupata vitambulisho.
Katika picha ni maafisa wa LAPF wakitoa huduma kwa wanachama waliotembelea banda hilo. Wananchi wa Mtwala wakitembelea maanda ya mfuko wa pensheni wa LAPF, Mtwara.
10 years ago
Michuzi15 Oct
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF KUFANYA MKUTANO WA 7 WA MWAKA WA WADAU JIJINI ARUSHA OKTOBA 23-24,2014
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa mikutano (AICC),jijini Arusha.Bwa.Victor amesema kuwa kauli mbiu ya mkutano huo ni '' kusherehekea miaka 70 ya...
9 years ago
Habarileo14 Aug
Ligi Arusha Mjini kuanza kesho
LIGI ya soka daraja la nne ngazi ya wilaya ya Arusha inatarajia kuanza kutimua vumbi jijini hapa kesho Julai 15 mwaka huu katika viwanja mbalimbali.
11 years ago
MichuziHATUJAWAHI KUMKOPESHA MBOWE, WALA KUWASAIDIA "SUGU" NA MSIGWA - MFUKO WA PENSHENI WA LAPF
MFUKO WA LAPF UNAPENDA KUKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI KUWA LAPF ILITOA MSAADA KWA MBUNGE WA MBEYA MJINI MH. JOSEPH MBILINYI (kulia) NA MBUNGE WA IRINGA MJINI MH. PETER MSIGWA (kushoto). IELEWEKE KUWA INGAWA WAHESHIMIWA WABUNGE AU MTU AU TAASISI YEYOYE HAWAZUILIWI KUOMBA MSAADA WA KIJAMII, MH. MBILINYI NA MH. MSIGWA HAWAJAWAHI KUWASILISHA MAOMBI NA...
10 years ago
MichuziWAZIRI HAWA GHASIA AZINDUWA BODI MPYA YA WADHAMINI YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MH. SELEMANI JAFO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF DODOMA
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Waziri Hawa Ghasia azinduwa bodi mpya ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF, jijini Dar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ua wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa, akizungumza katika hafla hiyo.
Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka akichangia jambo kwenye uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga akizungumza machache kwenye uzinduzi huo.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10