Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi Arusha Mjini kuanza kesho

LIGI ya soka daraja la nne ngazi ya wilaya ya Arusha inatarajia kuanza kutimua vumbi jijini hapa kesho Julai 15 mwaka huu katika viwanja mbalimbali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho Ya Miaka 70 ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Kuanza Kesho Mjini Arusha

Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Saba wa wadau wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, yamekamilika ambapo mkutano huo utahudhuriwa na wajumbe zaidi ya 700 toka nchini na nje ya nchi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Eliud Sanga, amesema maadalizi yote ya mkutano huo, wenye kauli mbiu ya "Maadhimisho ya Miaka 70 ya Ukuaji na Huduma Bora, LAPF", yamekamilika ambapo utakwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Mfuko...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi ya Premia ya Uingereza kuanza Kesho

Hatimaye kiu cha mashabiki wa soka hususan ligi kuu ya Uingereza kitaanza kukatwa wikendi hii

 

9 years ago

Habarileo

Arusha Mjini, Handeni Mjini kuchagua wabunge kesho

WANANCHI katika majimbo ya Arusha Mjini na Handeni Mjini, watafanya uchaguzi wa wabunge wao kesho. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, alisema hayo jijini Dar es Salaam jana.

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA 9 LA CTO CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF) KUANZA KESHO ARUSHA


 Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbie Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo Februari 10, 2014 juu ya Kongamano la  9  la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) ambao utafanyika kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel, Arusha Tanzania. Katikati ni Katibu Mtendaji wa CTO, Prof. Tim Unwin, akifuatiwa na Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mahsriki (EACO) Hodge...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWA SHUJAA ARUSHA MJINI KUHUTUBIA WANANCHI KESHO KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijibu hoja mbali mbali zilizoletwa na kamati ya soko la Kilombero ikiwa pamoja na kupandishiwa kodi bila utaratibu maalum.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Arusha kwenye soko la Kilombero ambapo walisalimu wananchi waliojitokeza kwa wingi.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa chama na serikali wakila chakula kwa Mama Lishe wa soko la Kilombero,jijini Arusha.Katibu Mkuu wa CCM...

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

9 years ago

Habarileo

Arusha Mjini, Handeni Mjini kuchagua wabunge leo

WANANCHI katika majimbo ya Arusha Mjini na Handeni Mjini mkoani Tanga, watafanya uchaguzi wa wabunge wao leo. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

CCM ARUSHA YATOA ONYO KWA WALIOTANGAZA NIA ARUSHA MJINI

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Arusha,Feruz Bano (kushoto) akimkabidhi kitabu cha kanuni za uchaguzi wa CCM mgombea aliyetangaza nia ya kuwania ubunge katika jimbo la Arusha mjini,Kim Fute jana ofisini kwake mara alipofika kujitambulisha na kutangaza nia. mgombea aliyetangaza kuwania nafasi ya ubunge kupitia CCM katika jimbo la Arusha mjini,Kim Fute akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya katibu wa chama hicho wilayani Arusha jana alipofika kujitambulisha na kutangaza ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani