Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arusha Mjini, Handeni Mjini kuchagua wabunge leo

WANANCHI katika majimbo ya Arusha Mjini na Handeni Mjini mkoani Tanga, watafanya uchaguzi wa wabunge wao leo. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, jijini Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Arusha Mjini, Handeni Mjini kuchagua wabunge kesho

WANANCHI katika majimbo ya Arusha Mjini na Handeni Mjini, watafanya uchaguzi wa wabunge wao kesho. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, alisema hayo jijini Dar es Salaam jana.

 

9 years ago

Mwananchi

Arusha, Handeni kuchagua wabunge wao leo

Wapigakura 321,575 wanatarajiwa kujitokeza kuchagua mbunge wa Arusha Mjini leo, katika uchaguzi unaoshirikisha wagombea wa vyama vinne vya siasa.

 

9 years ago

Michuzi

NEC YATAOA TAMKO KUHUSU UCHAGUZI WA WABUNGE ARUSHA MJINI NA HANDENI.


 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu uchaguzi wa wabunge unaotarajiwa kufanyika Tarehe 13/12/2015 katika jimbo Handeni na Arusha Mjini, (kushoto) ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Bw.Clarence Nanyaro kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian...

 

9 years ago

Habarileo

Uchaguzi Handeni, Arusha Mjini kufanyika Desemba 12

UCHAGUZI wa ubunge kwa majimbo ya Handeni na Arusha Mjini umepangwa kufanyika Desemba 12, mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

WABUNGE WAPYA WAAPISHWA LEO MJINI DODOMA

Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dkt. Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015. Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Handeni mjini waahirishwa TZ

Uchaguzi wa ubunge katika jimbo la Handeni mjini nchini Tanzania umeahirishwa kufuatia kifo cha mgombea wa eneo hilo Daktari Abdallah O Kigoda.

 

11 years ago

Habarileo

Malawi kuchagua Rais, wabunge leo

WANANCHI wa Malawi, leo wanapiga kura kuchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Kadhalika, watachagua wabunge na madiwani. Hii ni mara ya kwanza kwa wananchi wa Malawi kupiga kura tatu.

 

9 years ago

Michuzi

HANDENI MJINI KURUDIA KURA ZA MAONI KESHO

 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana leo, Novemba 02,2015 chini ya Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete imejadili kwa kina mapendekezo ya wana CCM walioomba ridhaa ya kugombea ubunge katika jimbo la Handeni mjini.

 Kamati Kuu imetengua mapendekezo ya awali na kuagiza kurejewa kwa mchakato wa kura za maoni kwa wana -CCM wawili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani