Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HANDENI MJINI KURUDIA KURA ZA MAONI KESHO

 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana leo, Novemba 02,2015 chini ya Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete imejadili kwa kina mapendekezo ya wana CCM walioomba ridhaa ya kugombea ubunge katika jimbo la Handeni mjini.

 Kamati Kuu imetengua mapendekezo ya awali na kuagiza kurejewa kwa mchakato wa kura za maoni kwa wana -CCM wawili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAJIMBO MATANO KURUDIA KURA ZA MAONI


Nape Nnauye akizungumza kwenye moja ya mikutano na waandishi wa habari
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CC) imeagiza kurudiwa kwa uchaguzi   katika majimbo matano  kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza katika mchakato wa kura ya maoni.Majimbo hayo ni Makete,Busega,Ukonga,Rufiji na Kilolo.Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye amesema mchakato  huo utarudiwa siku ya alhamisi Agosti 13.Amesema baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

9 years ago

Habarileo

Arusha Mjini, Handeni Mjini kuchagua wabunge kesho

WANANCHI katika majimbo ya Arusha Mjini na Handeni Mjini, watafanya uchaguzi wa wabunge wao kesho. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, alisema hayo jijini Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Mwananchi

...Kufanya kura ya maoni Dar kesho

>Makada wa CUF wanaowania tiketi ya kugombea ubunge katika majimbo ya Dar es Salaam, kesho watakuwa na wakati mgumu wa kusubiri mustakabali wao wakati wa Kura ya Maoni, huku wingu zito likiendelea kufunika mchakato wa uachianaji majimbo ndani ya Ukawa.

 

10 years ago

Michuzi

CHAGUA AMANI RAI KATIKA KURA ZA MAONI SINGIDA MJINI

Chagua Amani Rai Jimbo la Singida Mjini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Hassan Mazala apeta kura za maoni CCM jimbo la Singida mjini

DSC00899Mshindi wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi ya Ubunge jimbo la Singida Mjini, Hassan Mazala akiwa katika moja ya shughuli za kuimalisha chama ndani ya jimbo hilo la Singida mjini (Picha na Maktaba ya modewjiblog).

Modewjiblog team

(Singida). Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa (MNEC) Manispaa ya Singida, Hassan Mazala ameweza kupenya kwenye kinyang’anyiro cha kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi  (CCM) katika kuwania  Ubunge Jimbo la Singida Mjini, kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MOSHI MJINI KUMEKUCHA ! KUELEKEA KURA ZA MAONI !NURU MPYA YA MABADILIKO KATIKA UMMA

Baadhi ya wananchi jimboni Moshi Mjini wamesikika wakisema kuwa katika kuelekea kula katika kura za maoni ,hawezi kukubali kuwa msingi watu wa wafanyibiasharawanaokimbilia dili la kugombea ubunge,wananchi hao wametililika kwa kudai kuwahadi sasa kuna wagombea 11 kwa kupitia tiketi ya CCM, ambao wanawania kupata ridhaa ya wanaCCM jimboni Moshi Mjini,katika wagombea hao wapo pia wafanyibiashara na raia wa kawaida,miongoni mwao yupo mgombea mwenye umri mdogo kuliko wote kijana Daudi Babu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dosari yajitokeza kura za maoni ubunge jimbo la Iringa mjini, mgombea ataka mchakato usitishwe

IMG_2160

Frank Kibiki ambaye pia ni Mwanahabari wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo wa mkoani Iringa akionyesha walivyokosea jina lake.

IMG_2158

Frank Kibiki ambaye pia ni Mwanahabari wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo wa mkoani Iringa.

Na Mwandishi wetu, Iringa

WAKATI kura za maoni za kutafuta wagombea ubunge katika majimbo yote nchini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) zikipigwa leo, mmoja kati ya wagombea 13 wanaotafuta nafasi hiyo Jimbo la Iringa Mjini, Frank Kibiki anataka zoezi hilo jimboni humo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani