Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOSHI MJINI KUMEKUCHA ! KUELEKEA KURA ZA MAONI !NURU MPYA YA MABADILIKO KATIKA UMMA

Baadhi ya wananchi jimboni Moshi Mjini wamesikika wakisema kuwa katika kuelekea kula katika kura za maoni ,hawezi kukubali kuwa msingi watu wa wafanyibiasharawanaokimbilia dili la kugombea ubunge,wananchi hao wametililika kwa kudai kuwahadi sasa kuna wagombea 11 kwa kupitia tiketi ya CCM, ambao wanawania kupata ridhaa ya wanaCCM jimboni Moshi Mjini,katika wagombea hao wapo pia wafanyibiashara na raia wa kawaida,miongoni mwao yupo mgombea mwenye umri mdogo kuliko wote kijana Daudi Babu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mchakato wa kuomba kura za maoni katika jimbo la Singida mjini likiendelea katika kata mbalimbali kwa wagombea kujinadi

HASAN

Mmoja wa wagombea ubunge jimbo la Singida Mjini, Hasan Mazala akiomba kura kata ya kajengo jana.

MAZALA

Mazala akiomba kura.

AMANI

Amani Rai mmoja wa wagombea Jimbo la Singida mjini akimwaga serra zake kata ya majengo.

LEAH

Mpiga picha na mwandishi wa habari Leah Samike nae amejitosa kuwania Ubunge Singida mjini.

META

Mmoja wa wananchi wa Majengo, Hamson Mrecha akiuliza swali mgombea.

YAGI

Yage Kiaratu mmoja wa wagombea nafasi ya Udiwani Kata ya Majengo akiomba kura.

WAJUMBE

Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye mkutano...

 

10 years ago

Michuzi

CHAGUA AMANI RAI KATIKA KURA ZA MAONI SINGIDA MJINI

Chagua Amani Rai Jimbo la Singida Mjini.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yahimiza ulinzi kuelekea kura ya maoni

Makamu Mwenyekiti CCM, Zanzibar, Dk Ali Mohamed SheinMWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mberwa Hamad Mberwa ameiomba Serikali kuimarisha ulinzi katika kipindi cha kura ya maoni ili kupambana na vitisho vya wapinzani, ambao wametangaza kususa zoezi hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuboresha daftari la wapiga kura kuelekea maoni

Mathias ChikaweSERIKALI imesema itaboresha daftari la kudumu la wapiga kura kabla ya kura ya maoni kuhusu Rasimu ya Katiba mpya.

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akifungua mkutano wa wadau kuhusu Mikataba ya Utendaji Kazi katika Taasisi za Umma katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Mkutano huo uliandaliwa mahsusi ili wadau waweze kufahamu mambo muhimu juu ya Mfumo wa Mikataba ya Utendaji Kazi hususan chimbuko, maana na faida zake, mambo ya msingi yatakayofanikisha utekelezaji wa mfumo huo, fomu ya mkataba wa utendaji kazi na vipengele vyake, vigezo vya upimaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo sita muhimu kuelekea Kura ya Maoni, Uchaguzi Mkuu

Hofu ya kukataliwa kwa Katiba Mpya kumeifanya Serikali ivunje makubaliano ya Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kwamba Kura ya Maoni isitishwe hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani