Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi wa Handeni mjini waahirishwa TZ

Uchaguzi wa ubunge katika jimbo la Handeni mjini nchini Tanzania umeahirishwa kufuatia kifo cha mgombea wa eneo hilo Daktari Abdallah O Kigoda.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Uchaguzi Handeni, Arusha Mjini kufanyika Desemba 12

UCHAGUZI wa ubunge kwa majimbo ya Handeni na Arusha Mjini umepangwa kufanyika Desemba 12, mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

NEC YATAOA TAMKO KUHUSU UCHAGUZI WA WABUNGE ARUSHA MJINI NA HANDENI.


 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu uchaguzi wa wabunge unaotarajiwa kufanyika Tarehe 13/12/2015 katika jimbo Handeni na Arusha Mjini, (kushoto) ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Bw.Clarence Nanyaro kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian...

 

9 years ago

Habarileo

Arusha Mjini, Handeni Mjini kuchagua wabunge leo

WANANCHI katika majimbo ya Arusha Mjini na Handeni Mjini mkoani Tanga, watafanya uchaguzi wa wabunge wao leo. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Arusha Mjini, Handeni Mjini kuchagua wabunge kesho

WANANCHI katika majimbo ya Arusha Mjini na Handeni Mjini, watafanya uchaguzi wa wabunge wao kesho. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, alisema hayo jijini Dar es Salaam jana.

 

9 years ago

Habarileo

Uchaguzi Kwela waahirishwa

UCHAGUZI wa ubunge katika Jimbo la Kwela wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa umeahirishwa kutokana na wananchi wa kata ya Milepa jimboni humo kushindwa kupiga kura baada ya vifaa vyote vya kupigia kura kuteketezwa kwa moto.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa bunge waahirishwa Misri

Tume ya uchaguzi yabadilisha ratiba ya uchaguzi wa wabunge kufuatia uamuzi wa mahakama

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI WA BURUNDI WAAHIRISHWA TENA

Askari wakiimarisha ulinzi wakati wa uchaguzi wa wabunge nchini Burundi. Taaswira za hali ya amani nchini Burundi. Msemaji wa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi, Gervais Abayeho amesema kuwa, uchaguzi wa rais nchini humo uliopangwa kufanyika julai 15 umeahirishwa tena kwa mara nyingine na badala yake utafanyika Julai 21 mwaka huu. Uchaguzi huo umekumbwa na utata baada ya makundi ya upinzani nchini humo kuandamana na kupinga hatua...

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi:Uchaguzi waahirishwa tena

Msemaji wa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi amesema uchaguzi utafanyika tarehe 21 Julai.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu waahirishwa Nigeria

Tume ya uchaguzi nchini Nigeria imeahirisha uchaguzi kutokana na sababu za kiusalama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani