Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malawi kuchagua Rais, wabunge leo

WANANCHI wa Malawi, leo wanapiga kura kuchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Kadhalika, watachagua wabunge na madiwani. Hii ni mara ya kwanza kwa wananchi wa Malawi kupiga kura tatu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Arusha, Handeni kuchagua wabunge wao leo

Wapigakura 321,575 wanatarajiwa kujitokeza kuchagua mbunge wa Arusha Mjini leo, katika uchaguzi unaoshirikisha wagombea wa vyama vinne vya siasa.

 

9 years ago

Habarileo

Arusha Mjini, Handeni Mjini kuchagua wabunge leo

WANANCHI katika majimbo ya Arusha Mjini na Handeni Mjini mkoani Tanga, watafanya uchaguzi wa wabunge wao leo. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Uchaguzi Mdogo kuchagua rais Nchini Zambia wafanyika leo

Msururu wa wapiga kura katika kitongoji cha Kanyama nje ya jiji la Lusaka leo asubuhi                                           

 Leo wananchi wa Zambia wanafanya Uchaguzi mdogo kumchagua Rais wa sita tangu wa nchi hiyo tangu ipate uhuru mwaka 1964. Uchaguzi huu unafanyika kufuatia kifo cha Rais Michael Chilufya Sata, kilichotokea tarehe 28 Oktoba 2014, mjini London Uingereza alikokwenda kwenye matibabu. Rais Sata aliingia madarakani Septemba 2011.
Mshindi katika uchaguzi huu atatawala hadi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wa Ukawa kuchagua mgombea urais

Dar es Salaam. Hatimaye leo wabunge wote wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wanakutana na viongozi wao wa jijini hapa kumchagua mgombea urais atakayeviwakilisha vyama hivyo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge Ukawa kuchagua mgombea urais

Ni baada ya vikao mfululizo vinavyoshirikisha viongozi wa juu wa vyama husika na kufanya maridhiano

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge kuchagua wenyeviti Kamati za Kudumu za Bunge

Uchaguzi wa kuziba nafasi tisa zilizoachwa wazi na wenyeviti na wajumbe wa Kamati za Bunge ambao wameteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa mawaziri, utaanza kufanyika kuanzia leo katika vikao vya kamati hizo vitakavyofanyika kwa wiki mbili.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WA MALAWI NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015. Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015. Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atoa heshima za mwisho kwa mwili wa Balozi wa Malawi Dar Es Salaam leo

JK

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

unnamed (65)

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa  heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AWASILI MALAWI KUMWAKILISHA MHE. RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA ALIYEKUWA BALOZI WA MALAWI NCHIN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Blantyre nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Marehemu Flossie Gomile-Chidyaonga aliyefarikii dunia tarehe 09 mei, 2014 Jijini na Dar es Salaam na anatarajiwa kuzikwa tarehe 14 Mei, 2014. Mhe. Membe anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mazishi hayo. 
Balozi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani