Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Mdogo kuchagua rais Nchini Zambia wafanyika leo

Msururu wa wapiga kura katika kitongoji cha Kanyama nje ya jiji la Lusaka leo asubuhi                                           

 Leo wananchi wa Zambia wanafanya Uchaguzi mdogo kumchagua Rais wa sita tangu wa nchi hiyo tangu ipate uhuru mwaka 1964. Uchaguzi huu unafanyika kufuatia kifo cha Rais Michael Chilufya Sata, kilichotokea tarehe 28 Oktoba 2014, mjini London Uingereza alikokwenda kwenye matibabu. Rais Sata aliingia madarakani Septemba 2011.
Mshindi katika uchaguzi huu atatawala hadi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MDOGO WA RAIS NCHINI ZAMBIA KUFANYIKA LEO

Leo wananchi wa Zambia wanafanya Uchaguzi mdogo kumchagua Rais wa sita tangu wa nchi hiyo ipate uhuru mwaka 1964. Uchaguzi huu unafanyika kufuatia kifo cha Rais Michael Chilufya Sata, kilichotokea tarehe 28 Oktoba 2014, mjini London Uingereza alikokwenda kwenye matibabu. Rais Sata aliingia madarakani Septemba 2011.
Mshindi katika uchaguzi huu atatawala hadi 2016 ambapo utafanyika Uchaguzi Mkuu.
Katika uchaguzi huu wagombea kutoka vyama vya siasa vipatavyo kumi na moja (11) wamejitokeza...

 

10 years ago

Michuzi

Uchaguzi Mkuu wa Rais nchini Burundi wafanyika kwa amani

 Wananchi wa Burundi leo wamepiga kura kumchagua Rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Uchaguzi huo umefanyika katika mazingira ya amani ingawaje kwa upande wa jiji la Bujumbura wananchi walianza kujitokeza zaidi mchana Wananchi wakipiga kura Bujumbura  kituo cha Uchaguzi cha Ruhunja A  eneo la Rusagara katika jimbo la Gitega. Mawanamama akipiga kura yake  kituo cha Uchaguzi cha Ruhunja A  eneo la Rusagara katika jimbo la Gitega.Bango la wagombea nafasi ya Urais wa Burundi

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Sri Lanka wafanyika leo

Uchaguzi wa Sri Lanka wafanyika leo, Rais wa nchi hiyo anapambana na mshirika wake wa zamani

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI WA RAIS NCHINI TOGO UNAFANYIKA LEO JUMAMOSI

Rais wa Togo wa sasa anayewania kurudi madarakani, Faure Gnassingbe alipokuwa akipiga kura yake mapema hii leo. Raia wa Togo wakiwa katika vituo vyao vya kupigia kura. Uchaguzi wa Rais wa Togo unafanyika leo Jumamosi. Wananchi wa Togo wamefika mapema kwenye vituo vyao vya kupigia kura kwa ajili ya kumchagua Rais Mpya wa nchi hiyo. Tume huru ya uchaguzi ya Togo imetangaza kuwa, raia wapatao 3,590,258 ndio wanatarajiwa kupiga kura...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda...

 

11 years ago

GPL

UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI WAANZA NCHINI

Zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi Mdogo wa Madiwani kujaza viti vilivyo wazi kwenye kata 26 zilizoko katika halmashauri 23 umeanza katika vituo mbalimbali nchini!

 

11 years ago

Habarileo

Malawi kuchagua Rais, wabunge leo

WANANCHI wa Malawi, leo wanapiga kura kuchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Kadhalika, watachagua wabunge na madiwani. Hii ni mara ya kwanza kwa wananchi wa Malawi kupiga kura tatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani